Hii sasa Harmonize ni too much

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kiukweli harmonize hatofanikiwa kimuziki kamwe hata amalize waganga na waganguzi huko chitoholi ila suala la kupiga hatua ya kimuziki halitawezekana asilani abadani.

Jamaa hana ubunifu kabisa ,anamuiga Diamond kwa kila kitu ,anatembelea sana nyota ya diamond ila haambulii kitu.

Embu angalia hapa anaiga mpaka idadi ya following [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii haiwezi kuwa coincedence hata kidogo.
 
umeshakunywa uji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…