Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi Sana mpe vidonge vyake
wewe umepata kazi?yan ww umekosa kaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wambeya mnakazi [emoji23]
sawawe jamaa ni mchawi, ila umekosa kupaa na ungo tu na baadhi ya zana
kisa na mkasa?Na ww mpk unatia aibu
Roho mbaya haijawahi kujenga kongole kwaoAwana hiyana kabisa. Mbona za Alikiba Kama zote. Wasafi FM. Na Tv awabagui Kama Clouds.
Wawe na beef kwa misingi ipi ?Jana WASAF FM
walikuwa wanagonga ngoma zake kama kawa, kweli jamaa hawana bif, nimesikia hadi ngoma ya A. MCHOMVU wa XXL
Wana jielewaJana WASAF FM
walikuwa wanagonga ngoma zake kama kawa, kweli jamaa hawana bif, nimesikia hadi ngoma ya A. MCHOMVU wa XXL
relaxwe jamaaa demu wake mond nini?......maana this is too much....really though..where in this world did u get the f#$king time kuangalia upuuzi huo??? dah aiseee kwa kweli...
Kiukweli harmonize hatofanikiwa kimuziki kamwe hata amalize waganga na waganguzi huko chitoholi ila suala la kupiga hatua ya kimuziki halitawezekana asilani abadani.
Jamaa hana ubunifu kabisa ,anamuiga Diamond kwa kila kitu ,anatembelea sana nyota ya diamond ila haambulii kitu.
Embu angalia hapa anaiga mpaka idadi ya following [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii haiwezi kuwa coincedence hata kidogo.View attachment 1202426View attachment 1202427
Sikuwahi kumpenda wala kumshabikia na sina urafiki naye zaidi ya salamu .Unashangaza sana wakati yupo wcb ulimpenda kajitoa unamchukia.....mablack tuna roho za ajabu sana