Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[/QUOTE][QUOTE="mitale na midimu, post: 27374244, member: 321780"
*NAJUA MAMA AKO ALITAMANI SANA MWANAE USOME UJE KUWA MRUSHA NDEGE AirPORT*✈
*LAKINI MASKIN YA MUNGU NA UJINGA WAKO UKAJA KUWA MRUSHA PICHA NMTANDAONI*
hhhhhh.
*UKIMIND NJOO TUDUFUWANE*
![]()
hahahahaaaa shule zikifungwa kazi kweli kweli
yaaani daahhhahahahaaaa shule zikifungwa kazi kweli kweli
Hahahaa
Ha hahaha habari ya kutwa ""? .....Hahahaa
Atakuwa rafiki yake na Beira boy huyo
NDUGU ZANGU NISAMEHE ULIKUWA UTAN*WAHAYA kwa kujisifia imepitiliza,leo nimeskia hii Matangazo ya vifo.Ndugu Datius Rweyemamu wa Masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Sophia Rweyemamu wa Oysterbay kilichotokea jana America Baada ya kupaliwa BURGER akiwa anaendesha BUGATTI yake mpya la Billion 04 likiwa Full Tank.Msiba utafanyika kwa aunt yake Australia,Taarifa ziwafikie ndugu zake wote wa Singapore,Dubai,India,Ugiriki pamoja na house Girl Clara aliyekua China kwa shopping ya vyakula vya Mbwa*