Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya!

Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya!

yeaahh kuna mtu alizidishiwa Klorokwini. hahahahah lol
halaf mwambie ze finest alejeshe raba langu, aliniazima, alisema anakutoa out atalejesha last wednesday, hajalejesha mpaka leo. tutaanzishiana sredi ujue.
 
unaombwa kurudi kwenye mada Lizzy, halaf nilikumiss mpaka konda wa daladala nikajishtukia namuita Lizzy. Haujambo?

Orait orait....mi mzima kiasi japo niliumwa mpaka kizidiwa!Kama sio asprin sijui ningekua wapi!!!Missed you sana...
 
Lakini pia Lizy kwanini tusiende na fact tu...kanini tukubali kupigwa dana dana...huyu mtu maelezo yake yanaonesha ni player sasa amewezaje kukaa miezi yote hiyo km sio tutushika masikio
Anataka wadada wajilengeshe!!
 
halaf mwambie ze finest alejeshe raba langu, aliniazima, alisema anakutoa out atalejesha last wednesday, hajalejesha mpaka leo. tutaanzishiana sredi ujue.

Ati nini
kwanza sijaona hizo raba
mbili last Wednesday alisema
vijana mnakutana kwa vinywaji tu
kwenye Geto lako .. Hivi ina maana...................??????????
lazima mtu aruke kichura chura leo..
 
Orait orait....mi mzima kiasi japo niliumwa mpaka kizidiwa!Kama sio sprint sijui ningekua wapi!!!Missed you sana...
nani alikuudhi nikamloge? yaani as long as niko hai wewe hautakiwi kupata shida kabisa. taja jina, nivae helizi fasta
 
Nilisikiliza nikasikia Klorokwini wa JF umetangazwa marehemu,ghafla nakuona JF usiku wa leo....au wewe ni ghost?

Hashy kama Osama,kifo chake hakieleweki....l.o.l

Labda bado yu hai...wakodishe makomandoo wa JF wahakikishe hili.
 
Nilisikiliza nikasikia Klorokwini wa JF umetangazwa marehemu,ghafla nakuona JF usiku wa leo....au wewe ni ghost?

Hashy kama Osama,kifo chake hakieleweki....l.o.l

hehe hiyo redio lazima ilikuwa betri zimeisha! walinizoom sana kwenye royal wedding nashangaa hamkuniona!
 
Ati nini
kwanza sijaona hizo raba
mbili last Wednesday alisema
vijana mnakutana kwa vinywaji tu
kwenye Geto lako .. Hivi ina maana...................??????????
lazima mtu aruke kichura chura leo..

hehe huku geto huyo jamaa yako ni wanted, majuzi aliingia gizani na boksi la kondom la a.k.a "mlezi wa ghetto".

mkipigana kibuti usisite kunijulisha
 
nani alikuudhi nikamloge? yaani as long as niko hai wewe hautakiwi kupata shida kabisa. taja jina, nivae helizi fasta
Nadhani mtu wa hapa hapa MMU kanionea wivu na Thanks zangu!Mshughulukie alafu kesho unitoe brunch!
 
Nadhani mtu wa hapa hapa MMU kanionea wivu na Thanks zangu!Mshughulukie alafu kesho unitoe brunch!
Deal signed

acha nimalizane nae kigiza giza, kesho ataamka na mimba ya ufizi. hapa niko vere serious
 
Wakujilengesha hivi bado wapo tena...maana kwa mbinu hii hata bibi yangu wa Matombo atagundua mapema tu....
 
hehe huku geto huyo jamaa yako ni wanted, majuzi aliingia gizani na boksi la kondom la a.k.a "mlezi wa ghetto".

mkipigana kibuti usisite kunijulisha

ati nini Boksi la kondom??
anazitumiaga wapi ??
maana mi na ye ni kavu kaavu mmmhhhh
kila jtano ijumaa na jmosi asubui anasema anakuja
kukuona wewe mmmhhh. sasa ngoja nikafanye kazi fulani hivi
sala zako zitakuwa muhimu kwangu kwa kipindii hii nikiwa rumande
unikumuke .....
 
hehehe inawezekana anakula nyeto na kondom labda. khaaaa! acha nitimue bana nikapandishe mzuka.
 
Back
Top Bottom