Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya!

Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya!

alivyokuwa mdogo kingejiminya angekuwa nacho leo??? au Kloro wataka sema watoto wa kiume wakiwa na miezi hadi miaka 10 wanafanya sex?:bange:

ni baada ya kubalehe ndo inadata kama haipati chakula yake
 
Sasa unataka tukusaidie vipi wakati tayari unajua unachokitaka???

Si mumpe anachokitaka? Kuweni na huruma jamani maana mtu hadi kafikia Jf! Siyo kawaida, ila naye hana pumzi, mbona mizi U michache sana? Mpeni atakacho jamani.
 
Si mumpe anachokitaka? Kuweni na huruma jamani maana mtu hadi kafikia Jf! Siyo kawaida, ila naye hana pumzi, mbona mizi U michache sana? Mpeni atakacho jamani.
Kwani anachotaka kinagawanywa hapa???
 
Jaman hata msiombe yawatokee, mwaweza zani ni stori bt ki ukweli kale kamchezo kazuri!
 
Ndio nasaka aisee, wapenz wanathamani jaman, msiwatende wapenzi wenu yasije wafika km yangu!
 
Back
Top Bottom