Hii Sasa Noma!

Hii Sasa Noma!

have me baby

Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
8
Reaction score
0
jamaa afumaniwa na mke wa mtu,apigwa mawe mpaka kufa,mshikaji 1 kajitokeza akauliza "hivi waliyofanya kitendo hiki anaakili kweli?watu wakamuuliza kwann?kajibu'hawaoni mvua hizi'mwenye mke akamuuliza 'ungekuw ww je?'akajibu 'ningekuwa mm ningemuachia2'.....JE ingekutokea ww mke wako wa ndoa kabisa,ungefanya nn???
 
mbona sijaelewa hapo..mvua na kufumaniwa =??
 
hujatulia wewe!!!

maana hata jina tu umekosa ukaamua ujitungie sentensi ndio iwe jina lako!!

ama kweli, ngadu katoka baharini kaja nchi kavu!!
 
mh!! Yani have me baby na hz thread zako?? Kazi kwel kwel, kuna member alshasema bora wengne tubakie kuwa wachangiaji tu! Au hukumwelewa?
 
Thread hizi ngoja tu naona wameanza tena walipungua naona kasi inazidi
 
jamani,asipochafuka atajifunzaje?iweni positive.anzisha nyingine mwaya wakati unafikiria na jina instead of sentenso..iwe abt foleni na mvua
 
Thread hizi ngoja tu naona wameanza tena walipungua naona kasi inazidi
mpaka wanaboa mpendwa, cjui wanaambizana??? Wanafanansha Jf na Fb au??? Cjui wanasoma 4m two B hawa?? Manake mh!!
 
jamaa afumaniwa na mke wa mtu,apigwa mawe mpaka kufa,mshikaji 1 kajitokeza akauliza "hivi waliyofanya kitendo hiki anaakili kweli?watu wakamuuliza kwann?kajibu'hawaoni mvua hizi'mwenye mke akamuuliza 'ungekuw ww je?'akajibu 'ningekuwa mm ningemuachia2'.....JE ingekutokea ww mke wako wa ndoa kabisa,ungefanya nn???

Hembu niambieni mana kamili ya hili neno(MAPENZI)mana nimechoka kwakulifikiria.

Na nyingine ya kuuliza PASAKA maana yake nini imeondolewa. Wandugu mnamuelewa huyu???

Wewe nikupe ushauri rudi FB hapa hupawezi
 
jamaa afumaniwa na mke wa mtu,apigwa mawe mpaka kufa,mshikaji 1 kajitokeza akauliza "hivi waliyofanya kitendo hiki anaakili kweli?watu wakamuuliza kwann?kajibu'hawaoni mvua hizi'mwenye mke akamuuliza 'ungekuw ww je?'akajibu 'ningekuwa mm ningemuachia2'.....JE ingekutokea ww mke wako wa ndoa kabisa,ungefanya nn???

Mtoa mada.JE ingekutokea ww mke wako wa ndoa kabisa,ungefanya nn???Tupe kwanza ww mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom