Hii sasa pata potea

Hii sasa pata potea

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Mara leo ukonga na kesho upo kimara
Tazama unajivunjia hadhi na heshima yako bure, ilikukubidi ufikili ndipo uamue bora pazia kuliko bendera kufata upepo, ninapota habari zake ninamsikitia kutwa yupo kwenye mabaa nakuranda randa na njia, lkn sitochoka kumwambia japo kuwa tumeachana na wafitini nao awachoki kumjaza maneno.
 
Hiki kisa cha kweli kilinitokea kwa bi dada mmoja lkn anashangaa kidume mpaka leo nadunda... Jifunzeni madada.
 
Hahahaaa. Kupenda bana yaani umeshaachana nae lakini bado unamfuatilia lol.

Muache asikuumize kichwa na itakua ndio maisha aliyoyachagua hayo.
Lkn ninapopata habari zake... Ninamsikitikia kutwa yupo kwenye mabaa na kuranda na njia, mpaka usiku wa manane mtoto wa kike
 
Kaka yangu aliniambia usiachane na mpenzi wako yoyote mpaka utakapooa.

Mtu hatuongei tangu 2005 nikikuta kapost picha ya kidume sili silali kwa mawazo
 
Back
Top Bottom