Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Mara leo ukonga na kesho upo kimara
Tazama unajivunjia hadhi na heshima yako bure, ilikukubidi ufikili ndipo uamue bora pazia kuliko bendera kufata upepo, ninapota habari zake ninamsikitia kutwa yupo kwenye mabaa nakuranda randa na njia, lkn sitochoka kumwambia japo kuwa tumeachana na wafitini nao awachoki kumjaza maneno.