Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Karibu mkuuMi napita tu hapa
Ana hatari bi dada mkuuPole kwa yanayokupata
Achana nae we endelea na yakoAna hatari bi dada mkuu
Aaaa kashacheza pata potea tyr mkuuAchana nae we endelea na yako
Lkn ninapopata habari zake... Ninamsikitikia kutwa yupo kwenye mabaa na kuranda na njia, mpaka usiku wa manane mtoto wa kikeHahahaaa. Kupenda bana yaani umeshaachana nae lakini bado unamfuatilia lol.
Muache asikuumize kichwa na itakua ndio maisha aliyoyachagua hayo.
Vilio km hivi navitegemea kutoka kwa wanawake sio mwanaumeAaaa kashacheza pata potea tyr mkuu
Mkuu ujapenda! Usiombe ugonjwa wa kupenda ukukuteVilio km hivi navitegemea kutoka kwa wanawake sio mwanaume
AhsanteeePole
Kwa kuwa ulishamshindwa muache tu sababu huko kumsikitikia hakuna faida.Lkn ninapopata habari zake... Ninamsikitikia kutwa yupo kwenye mabaa na kuranda na njia, mpaka usiku wa manane mtoto wa kike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kwa ushauri mkuuKwa kuwa ulishamshindwa muache tu sababu huko kumsikitikia hakuna faida.
Pia jitahidi usiwe unazipata hizo habari zake kwani zitazidi kukuumiza kichwa.
Ndio mkuu sasa hivi nipo bacheraYamekufika mkuu