Hii sera ya kushirikisha sekta binafsi tuwe nayo makini tusije tukawanyima fursa watumishi wa umma hasa wanaotegemea activities wapate hela

Hii sera ya kushirikisha sekta binafsi tuwe nayo makini tusije tukawanyima fursa watumishi wa umma hasa wanaotegemea activities wapate hela

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
sikatai kweli utendaji kazi wa serikali upo chini ya kiwango lakini ikumbukwe sababu zinaweza kuwa ni nyingi.
Maslahi duni na kufanya watumishi kuchoka choka
Madeni waliyonayo yanawatia stress
Uongozi mbaya unakuta top management wanakula wao tu huku wafanyakazi wa chini wakibaki kuangalia na hawana la kufanya
Ufinyu wa bajeti
N.k

Sasa kama ni hivyo naomba sana enyi watunga sera muwe makini sana msajili wa hazina na huyo kafulila waangalie labda kama kwa mashirika yanayofanya biashara na yenye mitaji mikubwa.

Lakini sio kwenda kuwapa private kazi zile ambazo zingeweza kufanywa na waajiriwa tena wa hali ya chini na ndo kula yao wanapatia hapo ada za watoto n.k.

Maana watakuja na gear kwamba kwenye miradi tutawashirika wote ila ukweli ni kwamba hio unakura ni michongo tu ya vigogo huko juu..kazi zitafanyika mwajiriwa anabaki kuwa kama SHUHUDA.
 
Back
Top Bottom