Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Usikute wako kwenye mikakati ya kumtoa roho huyu Nchimbi ajiaangalie sanaUkikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana
Samia ni kiboko kwa kuchamba anakuchamba mpaka unakufa. Ukija Dar unakutana na Chalama naye mchambaji hawa nasikia wanakaa sana na samuya anawafundisha namna ya kuchamba watu.
Ambao wame master ni Mwigulu, Chalamila na wengine wengine tutaweka clips zao huko mbeleni. Serikali ya Wachambaji. Akiwemo mkongwe kikwete mshauri mkuu.
Nikimtizama Nchimbi naona anatia doa hii sehemu haimfai. Anaongea kwa utaratibu sana na utulivu. Hafoki hatukani watu.
Lucas Mwashambwa ana bonge la msambwandaItapendeza zaidi wakiunda kikundi chao cha taarab.
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wawe ndo wanenguaji mambo ya vidole juu!
Viongozi wasio na akili hao huwezi wafananisha na mchimbi aliye kuzwa kisiasaUkikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana
Samia ni kiboko kwa kuchamba anakuchamba mpaka unakufa. Ukija Dar unakutana na Chalama naye mchambaji hawa nasikia wanakaa sana na samuya anawafundisha namna ya kuchamba watu.
Ambao wame master ni Mwigulu, Chalamila na wengine wengine tutaweka clips zao huko mbeleni. Serikali ya Wachambaji. Akiwemo mkongwe kikwete mshauri mkuu.
Nikimtizama Nchimbi naona anatia doa hii sehemu haimfai. Anaongea kwa utaratibu sana na utulivu. Hafoki hatukani watu.
Usikute wako kwenye mikakati ya kumtoa roho huyu Nchimbi ajiaangalie sana
Itapendeza zaidi wakiunda kikundi chao cha taarab.
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wawe ndo wanenguaji mambo ya vidole juu!
Msambwanda unaitwa Makebo siku hizi.Lucas Mwashambwa ana bonge la msambwanda
Acheni ujinga hapa.Itapendeza zaidi wakiunda kikundi chao cha taarab.
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah wawe ndo wanenguaji mambo ya vidole juu!
Acha ujinga dogoLucas Mwashambwa ana bonge la msambwanda
Hahahaaa huyu kawaida sana kuwa na "jisambwanda la kwenda" si unajua toto la Mbeya hili kwakina tuntufwe!!Lucas Mwashambwa ana bonge la msambwanda
Huyu ndie atawasaidia !.Nikimtizama Nchimbi naona anatia doa hii sehemu haimfai. Anaongea kwa utaratibu sana na utulivu. Hafoki hatukani watu.
Kwani uongo, hata ukiwa umevaa dera tu sambwanda linaoneka jee ukivua si hatari na nusu? Wanaokupakua wanafaidi sana.Acha ujinga dogo
Nchimbi anapenda kujipakapaka na wengine hasa hao RC kama hataki kuwa sehemu ya serikali hii si anajiuzulu tuu maisha mengine yaendelee?Ukikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana