MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Yaani huu uzembe wa kishenzi upigiwe makelele, wageni sita kutoka Tanzania wameingia Kenya na mpaka wanafika Vihiga, maeneo ya ndani sana Kenya ndio wanakamatwa na kuwekwa karantini, upumbavu wa hali ya juu huu, ifahamike Tanzania ni mojawapo wa mataifa ambapo kirusi kimefika, na wao huko hawapo kwenye tahadhari yoyote zaidi ya kuambiwa waombe, bado wanakusanyika kwenye madaladala na vilabu na kila aina ya mikutano.
Sasa sisi huku tunapambana na hizi curfew halafu upumbavu ndani ya serikali mnaachia watu waingie hivi hivi tu, yaani imeniuma sana kwa kweli, tukiendelea na huu ujinga tutakufa na kufyekwa hadi wa mwisho.
Halafu nyie Watanzania nini kiherehere msisubiri haya mambo yaishe kwanza kabla kuingia ingia kwenye kila nchi. Tumeweka muda wa wiki tatu, mbona msivumilie wiki hizi tatu tu tuone muelekeo wa hiki kitu.