Hii serikali yetu kuna wakati hunikera, Watanzania sita wameruhusiwa mpaka wanafika Kenya kati ndio wanawekwa karantini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani huu uzembe wa kishenzi upigiwe makelele, wageni sita kutoka Tanzania wameingia Kenya na mpaka wanafika Vihiga, maeneo ya ndani sana Kenya ndio wanakamatwa na kuwekwa karantini, upumbavu wa hali ya juu huu, ifahamike Tanzania ni mojawapo wa mataifa ambapo kirusi kimefika, na wao huko hawapo kwenye tahadhari yoyote zaidi ya kuambiwa waombe, bado wanakusanyika kwenye madaladala na vilabu na kila aina ya mikutano.

Sasa sisi huku tunapambana na hizi curfew halafu upumbavu ndani ya serikali mnaachia watu waingie hivi hivi tu, yaani imeniuma sana kwa kweli, tukiendelea na huu ujinga tutakufa na kufyekwa hadi wa mwisho.
Halafu nyie Watanzania nini kiherehere msisubiri haya mambo yaishe kwanza kabla kuingia ingia kwenye kila nchi. Tumeweka muda wa wiki tatu, mbona msivumilie wiki hizi tatu tu tuone muelekeo wa hiki kitu.

Uzembe ni wenu huko wamepitaje mpakani mpk wafike huko Vihiga?

Ndio inanikera hapa, majitu ya mpakani sijui yanafanya kazi gani bora yafutwe yote, kama kuna usalama wa taifa wanaopitia hizi nyuzi wasome hili bandiko na kulifanyia kazi, upumbavu ndani ya hii nchi unakera, tunahangaika hapa kufuata maagizo ya serikali halafu watu wanaruhusiwa kuingia hivi hivi tu kama wanaoingia shambani mwao, hamna karantini na wanatokea kwenye nch yenye Corona ambapo huko kwao hamna tahadhari zaidi ya kuomba.
 
Mimi mwenyewe nimeingia Kenya jana jioni na sasa hivi nakatiza mitaa ya Eldoret hiyo karantini inakwepeka kirahisi mno
 
nawaonea huruma tu hao watz wameenda kwenye nchi yenye wagonjwa wengi wa corona mpaka wameambiwa wa jifungie ndani..

Sent using Jamii Forums mobile app
bro,, Watanzania ni watu wa kuhurumiwa tu. Saa hizi Kenya na hata dunia nzima, uchumi unayumba kwa sababu ya kirusi. Kila mtu amejifungia ndani kwa ndani ilhali bado kuna watu ni wajinga kama Watanzania ambao hawawezi kuweka makalio yao chini na kutulia hadi mambo yakuwe sawa. Tunawaelewa sana Watanzania kwani hakuna jambo la maana wanalofanya nchini Kenya bali ni kuombaomba.
Ukimwona Mtanzania mwenzako, mwambie asije Kenya kwani kwa sasa hatuna hela za kuwapatia. Kila mtu apambane kivyake.
 
Mimi mwenyewe nimeingia Kenya jana jioni na sasa hivi nakatiza mitaa ya Eldoret hiyo karantini inakwepeka kirahisi mno

Hehehe!! Nacheka sema ni majanga haya kwa kweli, haya basi njooni tu basi, yaani hii nchi tutakufa mpaka tukome.
Hizi curfew sijui za nini full ujinga kama mambo ndani tunapambana ilhali majitu mpakani ni full rushwa.
 
Yaani huu uzembe wa kishenzi upigiwe makelele, wageni sita kutoka Tanzania wameingia Kenya na mpaka wanafika Vihiga, maeneo ya ndani sana Kenya ndio wanakamatwa na kuwekwa karantini, upumbavu wa hali ya juu huu, ifahamike Tanzania ni mojawapo wa mataifa ambapo kirusi kimefika, na wao huko hawapo kwenye tahadhari yoyote zaidi ya kuambiwa waombe, bado wanakusanyika kwenye madaladala na vilabu na kila aina ya mikutano.

Sasa sisi huku tunapambana na hizi curfew halafu upumbavu ndani ya serikali mnaachia watu waingie hivi hivi tu, yaani imeniuma sana kwa kweli, tukiendelea na huu ujinga tutakufa na kufyekwa hadi wa mwisho.
Halafu nyie Watanzania nini kiherehere msisubiri haya mambo yaishe kwanza kabla kuingia ingia kwenye kila nchi. Tumeweka muda wa wiki tatu, mbona msivumilie wiki hizi tatu tu tuone muelekeo wa hiki kitu.

Si nilisikia mmefunga mipaka?
 
Ndio inanikera hapa, majitu ya mpakani sijui yanafanya kazi gani bora yafutwe yote, kama kuna usalama wa taifa wanaopitia hizi nyuzi wasome hili bandiko na kulifanyia kazi, upumbavu ndani ya hii nchi unakera, tunahangaika hapa kufuata maagizo ya serikali halafu watu wanaruhusiwa kuingia hivi hivi tu kama wanaoingia shambani mwao, hamna karantini na wanatokea kwenye nch yenye Corona ambapo huko kwao hamna tahadhari zaidi ya kuomba.
Hiyo ndio njia bora zaidi ya kudhibiti kuenea kwa Corona tunayoitumia ambayo imesababisha masmbukizi kuwa chini hapa Tanzania " kudhibiti wageni". Badala ya kushupaa katika kuhakikisha mnadhibiti wanaoingia nchini mwenu, ninyi mumekazania kupima na kutangaza matokeo tu, haiwezi kusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro,, Watanzania ni watu wa kuhurumiwa tu. Saa hizi Kenya na hata dunia nzima, uchumi unayumba kwa sababu ya kirusi. Kila mtu amejifungia ndani kwa ndani ilhali bado kuna watu ni wajinga kama Watanzania ambao hawawezi kuweka makalio yao chini na kutulia hadi mambo yakuwe sawa. Tunawaelewa sana Watanzania kwani hakuna jambo la maana wanalofanya nchini Kenya bali ni kuombaomba.
Ukimwona Mtanzania mwenzako, mwambie asije Kenya kwani kwa sasa hatuna hela za kuwapatia. Kila mtu apambane kivyake.
Hahahaha, tatizo ni serikali yenu legevu kushindwa kulinda mipaka yake, ndio sababu Alshabaab wanaingia na kutoka wapendavyo, jaribuni kuja Tanzania kipindi hiki muone tulivyojizatiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nilisikia mmefunga mipaka?

Ndio sielewi kwanini tunafunga mipaka halafu bado mizembe fulani serikalini inaruhusu watu na njaa zao kutoka kwao wanatiririka humu kutuletea virusi.
 
Back
Top Bottom