HII SHEREHE YA UZINDUZI WA RELI YA CHINI IMEKAAJE AISEE ???

HII SHEREHE YA UZINDUZI WA RELI YA CHINI IMEKAAJE AISEE ???

Nikisema papa ni agent wa shetani watu wanatoa povu
Mkuu NINAKATAA kwa herufi kubwa kwamba papa ni wakala wa sheteni.
Mastaka kama haya walimshitak Yesu kwamba nae anafanya kazi kwa nguvu ya shetani.
 
Safi kabisa mkuu,Ule uzi wako wa foreign policy ilikuaje mkuu?
Saa hizi nafanyia kazi nyuzi kama tatu hivi.
Ule uzi ni mrefu sana mzeee, yaani inabidi nifanye utafiti wa kutoshaaaa ili siku ikija nilete kweli kitu kinachoeleweka na ushahidi.
 
This is so weird, upagani kabisa huu kiukweli sijaelewa haja ya kuwekwa maibada ya baphomet na uwepo wa ''pope'' kwenye hiyo skit yao.... Inanikumbusha ila show ya kanye west aliyemleta Yesu jukwaani akiwa na msalaba na taji ya miba alafu akaanza kumkejeli, Yajayo yanasikitisha.
Mkuu yesu yupo? na kanye west ana uwezo wa kumleta jukwaani? Ufafanuzi naomba
 
Yaani kadri siku zinavyozidi kwenda mbele ndio ukristo unavyozidi kujidhihirisha ni dini iliyochezewa kiasi kikubwa na ndani yake imewekwa mikono ya watu kiasi mpaka mtu ukienda church hujui unamuabudia mchungaji, yesu, papa au mungu.

Asa utumbo kama wa kwenye hiyo clip alafu bado unaambiwa na Papa yaani yule kiongozi mkuu wa kanisa nae alikuwepo hayo ni matusi ya wazi juu ya ukristo.
 
Back
Top Bottom