Mkuu NINAKATAA kwa herufi kubwa kwamba papa ni wakala wa sheteni.Nikisema papa ni agent wa shetani watu wanatoa povu
Mkuu nataka nimeuona ule uzi na nasoma taratibu,Mkuu umepotezea uzi wangu kabisa huku, maana nimekuita hadi koo limekauka
Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA
Safi kabisa mkuu,Ule uzi wako wa foreign policy ilikuaje mkuu?Niaje mkuu
😀😀😀
Duuuh we jamaaMkuu ili niandike nisieleweke kama wewe nifanyeje?
hahaaaUsijali mkuu, hata hapa hujaeleweka ulichoandika.
kwakweli"..Watu na imani zao chief, inabidi uwaache tu.
Saa hizi nafanyia kazi nyuzi kama tatu hivi.Safi kabisa mkuu,Ule uzi wako wa foreign policy ilikuaje mkuu?
Mkuu yesu yupo? na kanye west ana uwezo wa kumleta jukwaani? Ufafanuzi naombaThis is so weird, upagani kabisa huu kiukweli sijaelewa haja ya kuwekwa maibada ya baphomet na uwepo wa ''pope'' kwenye hiyo skit yao.... Inanikumbusha ila show ya kanye west aliyemleta Yesu jukwaani akiwa na msalaba na taji ya miba alafu akaanza kumkejeli, Yajayo yanasikitisha.
Hahahaaaa too brave to be compared with herJamani, why not ??
Mkuu yesu yupo? na kanye west ana uwezo wa kumleta jukwaani? Ufafanuzi naomba
Mbona hata wewe ni Brave ??Hahahaaaa too brave to be compared with her
Anajihusisha na ibada za kishetani whyMkuu NINAKATAA kwa herufi kubwa kwamba papa ni wakala wa sheteni.
Mastaka kama haya walimshitak Yesu kwamba nae anafanya kazi kwa nguvu ya shetani.