Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Kwa mujibu wa sheria za tff,mechi inapoahiriahwa kwa sabb ya mvua au matatizo mengine ya hali ya hewa mechi hiyo inatakiwa kuahirishwa na itachezwa kesho yake asubuhi..lakini hapa mechi ya simba iliyotakiwa kuchezwa jmosi shinyanga imeahirishwa kwa sabb ya mvua na itachezwa juma 3saa kumi jioni...jamal malinzi huu ni uvunjaji sheria mwingine kwaajili ya kuibeba simba.Huyo kaburu &co anakuharibia tff yako
Mechi inayorudiwa asubuhi yake ni ile ambayo tayari ilianza kuchezwa lakini mechi ya simba na kagera haijachezwa ni kama kuahirisha ratiba. Tff wapo sawa katika hili.