EMMANUEL JASIRI
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 150
- 84
Nimekuwa nikishuhudiwa kuhusu mafanikio makubwa,
Waliyopata,
Kutokana na huu mfumo wa kifedha,maarufu kama VICOBA
Lakini hata hivyo,
Wengine mfumo huu umesababisha maumivu makali kwao,
Na kuwaacha wakilia,
Mfano,
nimekuwa nikipata taarifa toka kwa watu wangu wa karibu,
ambao wamedhulumiwa haki na fedha zao kupitia mfumo huu(VICOBA)
Mmojawapo ni Mke wangu ambaye,
mpaka hivi sasa imepita miaka mingi bila kupewa akiba na hisa zake,hisa baada ya kuamua kujiondoa.
Lakini rafiki yangu ndugu Daudi Mndeme amekutana na shida hii.
Huyu daudi mndeme yeye anachangamoto ya kielimu hivyo viongozi wa VICOBA wame utumia mwanya huo kumnyima haki zake stahiki
Ilikuwa hivi
Daudi mndeme ni fundi ujenzi na selemala
Alishauriwa na mmoja wa wanachama wa kundi lililokuwa linaitwa Safina
Kundi hilo la VICOBA mwenyekiti wake alikuwa Gadiel na katibu Daniel,
kundi hili lilikuwa linaendesha shughuli zake,
maeneo ya ,maeneo yanayo julikana,
kwa mama laizer Engosheraton,
hapa jijini arusha
Baada ya daudi kujiunga na kundi hili,
amejiwekea akiba yake mpaka kufikia kiasi cha shilingi za kitanzania,laki mbili na elfu sitini,
Huyu daud mndeme hajawahi kopa
Sasa ilifika wakati ambapo daudi aliamua kujiondoa katika kundi hili(safina)
Akawa anataka kuandaa barua ya kujiondoa,
lakini viongozi wa kundi hili wakamsihi sana ,
na kumwaminisha kuwa,
hata bila barua aje baada ya miezi 3 atapewa,alipokuja hakupewa
akapewa miezi mingine pia hakupewa
amefuatilia mwaka mzima bila mafanikio,
mwishowe wakamshauri apeleke kitabu cha uanachama ili ashughulikiwe,
akapeleka hicho kitabu na chenyewe wamekizuia hawampi,
ndipo nimegundua kuwa,
walimzuia kuandaa barua ili wapate sababu ya kisheria ya kutompa kwa wakati
pia nikagundua kuwa wamezuia kitabu chake ili kupoteza ushahidi wa madai yake.
hata hivyo nikapata taarifa kuwa,
Serikali ya eneo hilo,iliingilia kati,
ika amuru kikundi kivunjwe na kila mtu apewe haki yake,
Daud akapewa taarifa,kisha akaenda mahala ambapo huwa wana kutania,
lakini kikao hicho hakikufanyika,na wala haijulikani nini kinaendelea,
Hii inaonekana wazi waliokuwa viongozi wa kundi la VICOBA lililokuwa linaitwa Safina,
lilipo maeneo ya kwa Mama Laizer Engosheraton,wana jambo lao kuhusiana na pesa za huyu ndugu,Daud mndeme
Mamlaka husika toeni msaada,
maana kuna wanao anzisha au kuongoza makundi haya ya vicoba kwa nia ya kutapeli
mwisho,
ningependa kuona kwamba,haki ya Daud Mndeme inapatikana haraka.