N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Jun 12, 2025 #21 Atoto said: Kuna shida gani kwa alichouliza? Click to expand... Hakuna shida kwenye swali, ni zuri sana majibu yangeweza kutusaidia wengi. Ila Kumbuka JF hili jalala kila takataka ziko humu. Hivyo tegemea chochote.
Atoto said: Kuna shida gani kwa alichouliza? Click to expand... Hakuna shida kwenye swali, ni zuri sana majibu yangeweza kutusaidia wengi. Ila Kumbuka JF hili jalala kila takataka ziko humu. Hivyo tegemea chochote.
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,248 Reaction score 2,189 Jun 12, 2025 #22 Mzungu wa madawa said: Mwanaume mzima unapata msongo kwa kushindwa ku view status za WhatsApp?? Hata aibu huoni Click to expand... Wanaume wanaongezeka kwa kasi huku wanamume nao wanapungua kwa kasi pia..
Mzungu wa madawa said: Mwanaume mzima unapata msongo kwa kushindwa ku view status za WhatsApp?? Hata aibu huoni Click to expand... Wanaume wanaongezeka kwa kasi huku wanamume nao wanapungua kwa kasi pia..