Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar

Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar

Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.

ilhan kajibu “not to my knowledge”.

Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.

View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W

Jibu la hilo swali ni jepesi mno.

Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.

Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?

Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.

Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.

Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.

Shida ya huyu mama alianza kubwabwaja huku tonge likiwa bado mdomoni. Sasa inabidi aliteme. Atarudi somalia hadi trump atoke madarakani.
 
Naam.

Na kama tuhuma ni za uongo, hakuna ugumu wowote ule kusema hapana.

Truth is the ultimate defense.
Hatoboi.... Mtu akishaanza as far as I remember and as per my recollection ujue kuna kitu hataki kukumbuka
 
Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.

ilhan kajibu “not to my knowledge”.

Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.

View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W

Jibu la hilo swali ni jepesi mno.

Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.

Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?

Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.

Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.

Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.

Inakuaje huyo mdada kuolewa na kaka yake iwe ishu alafu midume miwili au mijike miwili kuoana iwe kawaida???
 
Hatoboi.... Mtu akishaanza as far as I remember and as per my recollection ujue kuna kitu hataki kukumbuka
Kabisa!

Mtu anaulizwa kuwa je, mtu aliyeoana naye ni kaka yake? Yeye anajibu ‘not to my knowledge’ 🤣🤣.

Mtu kama si kaka yako unashindwa nini kusema “no”?
 
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo hao mbona halali kuoa kwa mujibu wa uislamu.
Mtu ambae huruhusiwi kumuoa
Dada yako tumbo moja
Dada yako wa kunyonya
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo
Dada wa mama yako
Shangaz yako
Mama yako wa kambo
Kuoa ndugu wawili kwa wakati mmoja
Mtoto wa dada yako/kaka yako
 
Kabisa!

Mtu anaulizwa kuwa je, mtu aliyeoana naye ni kaka yake? Yeye anajibu ‘not to my knowledge’ 🤣🤣.

Mtu kama si kaka yako unashindwa nini kusema “no”?
Mkuu huyo mama ni msomi na mbobevu wa siasa so huenda anajua kwanini katoa jibu kama hilo.
 
Afu hiki kitu nimekuja kugundua , kuweka laia wa kigeni taifani mwenu wakiwa wengi ni tatizo, sana,
Wanaweza hata kupanga kudominate government
Kwa sasa hiki kitu kinawaumiza sana vichwa viongozi wa ulaya. Angalau marekani wana udhibiti fulani tofauti na nchi za ulaya hasa ufaransa.

Ufaransa walijua kuwakaribisha waislam kwa wingi labda ndio wataonekana wametekeleza demokrasia. Hivi sasa wanajutia.
Nikiangalia wasio waislam wanachotendewa Nigeria hawa watu nawaona ni wanyama kabisa.
 
Usilam sio dini ni POLITICAL IDEOLOGY

Ndio maana wakienda nchi yoyote wana - CLAIM ardhi ni Yao. A wanataka SHARIA LAW.

Hiyo sio dini ni uvamizi wa kutaka tawala. Wanatumia kigezo cha dini kama Victimization.
 
Attachments

  • Screenshot_20261025-092435.png
    Screenshot_20261025-092435.png
    1 MB · Views: 3
Hawa walisema Obama alizaliwa Kenya.
Kiufupi technic ya Trump na White supremacists ili washinde chaguzi kipindi cha uchaguzi ni zifuatazo.

1. Kuchochea sana Anti Islam sentiments, lengo ni kuenergise evangelical base. Ndiyo maana sasa hivi Anti Islam conrent iko juu mno online na social.media huko USA.
2. Kuchochea anti Immigration na Racism undertone ili kucheza na saikolojia ya White supreamacists na whites kiujumla. Waliitumia hii technic kumfanya Obama awe ktk defensive miaka yote nane kwa kuibua ishu ya vyeti vya kuzaliwa.

Hii ni game ya uchaguzi wa midterms tu
 
Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.

ilhan kajibu “not to my knowledge”.

Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.

View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W

Jibu la hilo swali ni jepesi mno.

Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.

Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?

Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.

Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.

Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.

Anachofanyiwa huyu dada na Serikali ya Trump ni sababu tu za kisiasa. Ikifanyika Bongo, wavimba macho haoooo!
 
Back
Top Bottom