MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Shida ya huyu mama alianza kubwabwaja huku tonge likiwa bado mdomoni. Sasa inabidi aliteme. Atarudi somalia hadi trump atoke madarakani.Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.
ilhan kajibu “not to my knowledge”.
Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.
View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W
Jibu la hilo swali ni jepesi mno.
Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.
Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?
Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.
Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.
Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.
Hatoboi.... Mtu akishaanza as far as I remember and as per my recollection ujue kuna kitu hataki kukumbukaNaam.
Na kama tuhuma ni za uongo, hakuna ugumu wowote ule kusema hapana.
Truth is the ultimate defense.
Kamweleze Ilhan.Chuki zenu zinazidi akili zenu
Na mashoga wanavoowana huko US wanaishi na misingi au karo lako?Ndiyo ni kosa na wanaiishi misingi na miongozo ya biblia.
Sijakuelewa.Andika kiswahili fasaha.Usiandike vilugha au maneno ya mtaani nikueleze.Na mashoga wanavoowana huko US wanaishi na misingi au karo lako?
Inakuaje huyo mdada kuolewa na kaka yake iwe ishu alafu midume miwili au mijike miwili kuoana iwe kawaida???Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.
ilhan kajibu “not to my knowledge”.
Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.
View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W
Jibu la hilo swali ni jepesi mno.
Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.
Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?
Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.
Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.
Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.
Kabisa!Hatoboi.... Mtu akishaanza as far as I remember and as per my recollection ujue kuna kitu hataki kukumbuka
Kuoana kiudanganyifu ili upate makaratasi ni kosa.Inakuaje huyo mdada kuolewa na kaka yake iwe ishu alafu midume miwili au mijike miwili kuoana iwe kawaida???
Mtu ambae huruhusiwi kumuoa
Dada yako tumbo moja
Dada yako wa kunyonya
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo
Dada wa mama yako
Shangaz yako
Mama yako wa kambo
Kuoa ndugu wawili kwa wakati mmoja
Mtoto wa dada yako/kaka yako
Afu hiki kitu nimekuja kugundua , kuweka laia wa kigeni taifani mwenu wakiwa wengi ni tatizo, sana,Nchi za ulaya zimeingiliwa na hawa watu. Ona Ufaransa wanavyosumbua
Kwa kesi ya marekani, mwenyeji pale ni yupi na mgeni ni yupi?Afu hiki kitu nimekuja kugundua , kuweka laia wa kigeni taifani mwenu wakiwa wengi ni tatizo, sana,
Wanaweza hata kupanga kudominate government
Hii ni ngapi?kumi na 18
Mkuu huyo mama ni msomi na mbobevu wa siasa so huenda anajua kwanini katoa jibu kama hilo.Kabisa!
Mtu anaulizwa kuwa je, mtu aliyeoana naye ni kaka yake? Yeye anajibu ‘not to my knowledge’ 🤣🤣.
Mtu kama si kaka yako unashindwa nini kusema “no”?
Kwa sasa hiki kitu kinawaumiza sana vichwa viongozi wa ulaya. Angalau marekani wana udhibiti fulani tofauti na nchi za ulaya hasa ufaransa.Afu hiki kitu nimekuja kugundua , kuweka laia wa kigeni taifani mwenu wakiwa wengi ni tatizo, sana,
Wanaweza hata kupanga kudominate government
Basi uislam ni CARTEL ya NGONODada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo hao mbona halali kuoa kwa mujibu wa uislamu.
Usilam sio dini ni POLITICAL IDEOLOGYKwa sasa hiki kitu kinawaumiza sana vichwa viongozi wa ulaya. Angalau marekani wana udhibiti fulani tofauti na nchi za ulaya hasa ufaransa.
Ufaransa walijua kuwakaribisha waislam kwa wingi labda ndio wataonekana wametekeleza demokrasia. Hivi sasa wanajutia.
Nikiangalia wasio waislam wanachotendewa Nigeria hawa watu nawaona ni wanyama kabisa.
Ni kweliKwa akili ya kawaida hapo anatafuta makaratasi tu,lakini hakutakuwa na ndoa kama ndoa
Hili nalo lahitaji mjadala?
Anachofanyiwa huyu dada na Serikali ya Trump ni sababu tu za kisiasa. Ikifanyika Bongo, wavimba macho haoooo!Mapema leo akihojiwa na kituo cha runinga cha MS Now, mbunge wa baraza la wawakilishi kutoka huko Minneapolis, Minnesota, kaulizwa swali kuhusu mwanaume aliyeoana naye ambaye inadaiwa kuwa ni ndugu yake/ kaka yake.
ilhan kajibu “not to my knowledge”.
Anzia dakika ya 14:12 mpaka 15:00.
View: https://youtu.be/SPGxj0mhTBU?is=SGBGlYclmHJ9Dj9W
Jibu la hilo swali ni jepesi mno.
Ni kiasi cha kusema tu ndiyo au hapana.
Utashindwaje kujua kama unayeoana ni kaka yako au la?
Mimi nahisi hapo wamemshika pabaya Ilhan.
Kwenye immigration fraud Marekani, watu kuoana na ndugu zao ili wapate makaratasi ni jambo linalofanyika sana.
Uwezekano wa Ilhan na kaka yake kuoana ili kaka mtu apate makaratasi, ni mkubwa sana.