Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar

Sio marekani tu,hata Uingereza pia upo udanganyifu mwingi,wapo pia wanaotumia vyeti vya kuzaliwa sio vyao,kwa mfano kazaliwa Tanzania,anatumia cha

cha kuzaliwa cha Somalia,na tarehe ya kuzaliwa tofauti,anapata uraia na Passport ya Uingereza,hivi inakuwaje wazungu,wanadanganyika ki urahisi sana?
 
Sisi Tumelaaniwa. Yale mambo ambayo huwa tunawasema Makafir ndo tunayafanya. Huu ni Ushetwan au labda wanamsingizia tu sababu ya wivu na Islamaphobia. Sidhani kama anaweza olewa na kaka yake. Sidhani
Sio kwamba ameolewa,na kufanya tendo la ndoa,wameoana ili wafanye utapeli wa kupata uraia,kupitia ndoa fake.
Huko nchi za ulaya,wazungu wanadanganywa sana wapo wanaotumia pia vyeti bandia vya kuzaliwa,kazaliwa nchi nyingine lakini anatumia vyeti vya kuzaliwa vya nchi yenye vita,ili apate hifadhi huko Ulaya.Wapo wengi Uingereza,wametumia vyeti vya kuzaliwa vya Somalia,wakati ni waTazania,hawajawahi hata kukanyaga Somalia.
 
Hizi pesa wanazipata kwa uharamia,wa kuvamia meli na malori ya bidhaa,na ugaidi duniani.Wanafanya vitendo haramu
 
Hao sio waislamu,wanajiita waislamu,uislamu hauruhusu hata kufanya ibada katika ardhi sio yako,mpaka uombe ruhusa kwa mwenye ardhi akukubalie,ndio ufanye ibada.Kwa hiyo wapi uislamu umeruhusu ufanye usilokubaliwa na mwenye nchi yake,hair uhusu uislamu.
 
Hawaoni kwa kuishi nae wanafanya hivyo ili apate makaratasi tu ya kuishi USA ndio maana hautajua au kupata taarifa za mume halisi wa huyo dada..
Huko nchi za ulaya wengi wanaishi kwa njia za kitapeli.Hata uingereza wapo wengi,wanatumia vyeti vya kuzaliwa vya nchi ya Somalia,kwenye vita,wakati sio msomali,hasa Uingereza,Wawafuatilie hawa ndio wanaharibu sifa nzuri ya nchi za Ulaya,wazungu waache imani na kuwaamini hawa wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…