Hii sijawahi kukutana nayo - msaada jamani

mwanafyale

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
1,641
Reaction score
538
Mimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo. Tatizo lake ni kuwa kila akienda haja kubwa lazima mbegu za kiume zitoke kwa wingi sana. Na baada ya hapo anakuwa Hana uwezo wa tendo la ndoa. Nimeshindwa kumsaidia. Ushauri wana JF


 
Mimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo.
Samahani,ningependa kujua,una utalaam gani katika fani ya matibabu,kiasi cha kuweza kuuza dawa&kutibu wengine?
Tatizo lake ni kuwa kila akienda haja kubwa lazima mbegu za kiume zitoke kwa wingi sana. Na baada ya hapo anakuwa Hana uwezo wa tendo la ndoa. Nimeshindwa kumsaidia. Ushauri wana JF
 
Asee hii mpya...inamaana haja kubwa yake ina uhusiano usiku wa moja kwa moja na mbegu za kiume? ???
 
Samahani,ningependa kujua,una utalaam gani katika fani ya matibabu,kiasi cha kuweza kuuza dawa&kutibu wengine?
Sina utaalamu wa kutibu, wala mimi si mtaalam wa tiba. Products za FOREVER LIVING ni virutubisho, lkn mimi najihusisha zaidi na products za urembo za akina dada. Huyu mwenzetu aliposikia ninauza hizo product akaomba nimtafutie za kutibu Hilo tatizo lake kwa madai kuwa amesikia zipo. Sizijui ndio maana nikaomba msaada humu jamvini maana najua wapo wanachama wa foerever humu
 
Hebu muulize alishawahi kuliwa 0713?
 
Nadhani huna ujuzi wala maadili katika fani husika. Hivi madaktari wangekuwa wanaleta siri
za wagonjwa wao huku JF ingekuwaje? Tena ummeleza wazi kuwa mgonjwa aliongea nawe kwa faragha! Lool!
 
Mmmmmmh! Ni mtu mzima kanizidi umri sana, sidhani nikimuuliza anawezasema ukweli, na Mimi sina ubavu wa kumuuliza swali kama hilo

Je huyo jamaa (au hata kama ni wewe) ana mke?? Je ni mdau wa pu.nyeto?? Kama ni mdau mshauri aache mapema sana!!! Na kama hana mke aoe maana hiyo dalili si njema!! Kwa msaada zaidi tumngoje MziziMkavu hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
Sass si uwaulize maboss WA forever living? AMA huwajui?
 
Nadhani huna ujuzi wala maadili katika fani husika. Hivi madaktari wangekuwa wanaleta siri
za wagonjwa wao huku JF ingekuwaje? Tena ummeleza wazi kuwa mgonjwa aliongea nawe kwa faragha! Lool!

acha kukariri kuhusu kutoa siri, kwani jamaa ametaja jina la mteja? Na hata jamaa mwenyewe unamjua zaidi ya identity yake ya hapa jf?
 
Kutokwa kwa mbegu za kiume wakati unakwenda haja kubwa sio tatizo

na wala sio maradhi. Inategemea hiyo haja kubwa anapoitowa huwa anaitowa kwa nguvu anatumia nguvu zake za

mwili kuitowa hiyo haja kubwa. Na ndio maana anatowa na mbegu zake za uzazi na hizo mbegu zake za uzazi ni madhii sio

manii. Madhii ni mbegu za uzazi zinatoka wakati wewe unapotoa haja kubwa kwa kutumia nguvu yaani una matatizo ya

kutopata choo laini ndio maana unakaa sana chooni kukitafuta choo wakati mwengine unatumia nguvu zako kukitowa hicho

choo ndio hapo unapotoa pamoja na madhii inatoka kwenye uume wako wewe Mwanamme. Na huku unashusha choo

kigumu, huyo jamaa yako ana matatizo ya ukosefu wa kutopata choo laini jaribu kumuuliza atakwambia ni kweli.

Angalia picha hapo. Na wakati Mwengine pia kutofanya tendo la ndoa muda mwingi pia kuna sababisha kutoa choo

pamoja na Madhii.
 

Attachments

  • kutopata choo laini.jpg
    36.8 KB · Views: 642
Kaka nimekukubali. Huyu jamaa anasema Hilo tatizo la kupata haja kubwa analo sana kwani anaweza kukaa hata siku 5-6 bila kupata.
 
mzizi unatisha mbaya!je wewe ni afordable mtu akitaka kukufanya kuwa mshauri/daktari wa afya wa familia?
 
Kaka nimekukubali. Huyu jamaa anasema Hilo tatizo la kupata haja kubwa analo sana kwani anaweza kukaa hata siku 5-6 bila kupata.
sasa huyo Rafiki yako au kam ndio wewe

Mwenyewe mwambie ana matatizo ya kutopata choo laini ndio maana akienda choo kutowa choo

kikubwa inamtokea hiyo ya kutowa Madhii sio shahawa. Ajitibie tatizo la kutopata choo kilaini kwa wepesi huenda pia ana matatizo ya kuumwa na kichwa kwani kutopatachoo kwa njia ya wepesi kuna sababisha maradhi mengi mojawapo kuumwa na kichwa maradhi mengine ni

Bawasiri Hemorrhoids itafika wakati akienda choo atakuwa anatowa choo kikuwa na damu.


mzizi unatisha mbaya!je wewe ni afordable mtu akitaka kukufanya kuwa mshauri/daktari wa afya wa familia?
Asante kwa ushauri wako ninaweza kuwa Mshauri wa wa Madkatari kama ulivyosema. Ma

Daktari wengi hapo kwetu au hata ulaya huwa ukiwaeleza matatizo yako wanakusikiliza na kukupa Dawa hawataki kujuwa

chanzo cha matatizo ya maradhi yako ni nini? Mimi huwa ninapenda kujuwa kama unaumwa na kichwa nijuwe chanzo

cha maradhi ya kuumwa na kichwa ni nini ndio nikupe dawa sio tu umeniambia unaumwa na kichwa nikupe dawa

nitakuwa ninakuondosha njiani .Kesho utakuja tena kusema Dawa uliyonipa haijanisaidia kitu sijapona utaniambia

nimekupa dawa feki kumbe wewe unaumwa na kichwa hupati usingizi au hupati choo laini huwa sipendi kesi kama hizo

asante.
 

Wow unatisha daktari. Lol unatufunza mengi sana kwa kweli. Be blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…