mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 538
Mimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo. Tatizo lake ni kuwa kila akienda haja kubwa lazima mbegu za kiume zitoke kwa wingi sana. Na baada ya hapo anakuwa Hana uwezo wa tendo la ndoa. Nimeshindwa kumsaidia. Ushauri wana JF
Kutokwa kwa mbegu za kiume wakati unakwenda haja kubwa sio tatizo
na wala sio maradhi. Inategemea hiyo haja kubwa anapoitowa huwa anaitowa kwa nguvu anatumia nguvu zake za
mwili kuitowa hiyo haja kubwa. Na ndio maana anatowa na mbegu zake za uzazi na hizo mbegu zake za uzazi ni madhii sio
manii. Madhii ni mbegu za uzazi zinatoka wakati wewe unapotoa haja kubwa kwa kutumia nguvu yaani una matatizo ya
kutopata choo laini ndio maana unakaa sana chooni kukitafuta choo wakati mwengine unatumia nguvu zako kukitowa hicho
choo ndio hapo unapotoa pamoja na madhii inatoka kwenye uume wako wewe Mwanamme. Na huku unashusha choo
kigumu, huyo jamaa yako ana matatizo ya ukosefu wa kutopata choo laini jaribu kumuuliza atakwambia ni kweli.
Angalia picha hapo. Na wakati Mwengine pia kutofanya tendo la ndoa muda mwingi pia kuna sababisha kutoa choo
pamoja na Madhii.
![]()