Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimeangalia tena marudio ya ile gemu ya jana Simba vs Yanga, hakyamungu msimu huu kuna fala atakula 10, ni suala la muda tu.
Mm uzuri wake sio mgeni mechi za Simba vs Yanga, nimeanza kwenda uwanjani shamba la bibi Simba ile ya golini Mosses Mkandawile, kulia marehem Rafael Paul, kushoto Twaha Hamidu, nne Juma Seleman, sala Juma Limonga sita Aston Pardon.
Kwahiyo watoto wadogo waliozaliwa pamoja na akina Hamissa Mobetto, Dullah Makabila, Meja Kunta, Diamond, Harmonize, Mwijaku, Babalevo wanapotukana eti naendekeza ushirkina sana mwenye post zang nawaangalia tu.
Ila am sure mpira wa bongo hauwezi kufanikiwa bila mipango ya nje kwa sababu sisi agenda ya youth academy program is a myth.
Mukoko tonombe juzi amesema ukweli, mechi ya Simba vs Yanga wanaambiwa wasiwe na presha ile ni mechi ya viongozi, wao wafuate masharti yao tu, ndio maana jana mmeona wachezaji wa yanga wamepanda mabasi tofauti tofauti kwenda uwanjani.
Simba jana boli limetembea sana, kama sio Mzamiru kuleg lega hakukuwa na Pacome wala ushuzi wa Mzengeli, simba hii viungo Okajepha, Debora, Kagoma, Awesu, Ahoua kudadeki.
Ngoja gari liwake tutatafutana hapa hapa