Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Wewe seme walau Simba walijitahidi mana walitakiwa kukandwa week (7).Ila yule Debora yupo vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ukisema ukweli hata kama unawasifia wao wenyewe hawakupi likes wanaona kama sijui nini...Tatizo watu wanajua ukiwa mpinzani basi hutakiwi kusema ukweli, jana Simba mlicheza bana.! Igweeeeeeeee
Uduguu pita kwa mangi, pata chochote nakuja kulipaa.Mimi Yanga ila Simba safari hii wapo vizuri, jana mechi ilikuwa kali sana.! Ukweli usemwe na huu ndio upinzani wa kweli.!
Hyo ratiba ya mshindi wa tatu mbona hatujaiona?...ngao ya jamii mshindi wa tatu coastal
Wapuuzi hao hawajui maana halisi ya ushabiki, hao ndio wanajiuaga kisa ushabiki maandazi.!! 😂😂😂Yani ukisema ukweli hata kama unawasifia wao wenyewe hawakupi likes wanaona kama sijui nini...
Kama juzi nilimpongeza Aziz K kwa zile tuzo wakawa wanapita comment kama wanaaga maiti...😃😃
Mimi namkubali sana Aziz ni hatari sana akiwa na mpira huo ndo ukweli...basi watu hawataki kusikia...
Asante mtani kwa niaba ya wanasimba wote napokea pongezi😀😀😀
Nishafika uduguu nachukua safari lager 2 😂😂😂Uduguu pita kwa mangi, pata chochote nakuja kulipaa.
Leo umesema kitu cha maana sanaa.
Upumbavu mtupu...yani kama leo nina cheka vibaya mno kule kwa Ally Kamwe na harusi yake ya mchongo...😃😃😃 naona yule mubaba mwijaku atakua na adabu...Wapuuzi hao hawajui maana halisi ya ushabiki, hao ndio wanajiuaga kisa ushabiki maandazi.!! 😂😂😂
msikimbie mashindano kuweni naadabu,mngekuwa mnata kuwa washindi wa kwanza mngeshinda janaHyo ratiba ya mshindi wa tatu mbona hatujaiona?
Hee jombaaa...kwa moto ule wa mnyama nani akimbie..nimeuliza nilitaka jibu....msikimbie mashindano kuweni naadabu,mngekuwa mnata kuwa washindi wa kwanza mngeshinda jana
coastal na simba wazee wa shirikisho aka kombe laser lazma kipigwe kutafuta mshindi wa tatu j2
Kamdhalilisha kweli mkewe kaonekana wa hovyo.! Sasa huo ndio ushabiki gani km sio upumbavu?? 😂Upumbavu mtupu...yani kama leo nina cheka vibaya mno kule kwa Ally Kamwe na harusi yake ya mchongo...😃😃😃 naona yule mubaba mwijaku atakua na adabu...
Yanga walibebwa na Ref..clear penalt ya Simba sc wamenyimwa..eti na wao wanadai goli la wizi la aziz ki na fauli zingine...ila jana yanga walikuwa wafungwe 2
Hujui mpira wewe kashabikie redeKilichonitisha sikuona mchezaji hata mmoja wa Simba ambaye unaweza kusema huyu ana kipaji! Wote wanabutua kwenda mbele tu!
Utaonaje wakati we ni kipofuKilichonitisha sikuona mchezaji hata mmoja wa Simba ambaye unaweza kusema huyu ana kipaji! Wote wanabutua kwenda mbele tu!
Ila ikumbukwe benchi la ufundi la Yanga haikuweza kuwasoma Simba kwavile Simba ilicheza kwa kujificha huku Yanga wakicheza michezo minne ya kirafiki live. Mechi ya marudiano isichukuliwe kuwa ni nyepesi kwa Simba pekee hata Yanga inaweza kushinda kiwepesi kwavile Gamondi atakuwa kaishawasoma wachezaji wa Simba na falsafa yao.Mimi Yanga ila Simba safari hii wapo vizuri, jana mechi ilikuwa kali sana.! Ukweli usemwe na huu ndio upinzani wa kweli.!
Ni tabu sana...tatizo ana mdomo mnoo yani anaongea kupitiliza mpaka anaharibuKamdhalilisha kweli mkewe kaonekana wa hovyo.! Sasa huo ndio ushabiki gani km sio upumbavu?? 😂
Wote madundukaKilichonitisha sikuona mchezaji hata mmoja wa Simba ambaye unaweza kusema huyu ana kipaji! Wote wanabutua kwenda mbele tu!
Mtakufa na vijiba vya roho...Wote madunduka
Vipi mlipata hata golf moja la offside? Yanga magoli matatu yote offside na ile moja ya dube imegonga mwamba hakuwa makini tuNimeangalia tena marudio ya ile gemu ya jana Simba vs Yanga, hakyamungu msimu huu kuna fala atakula 10, ni suala la muda tu.
Mm uzuri wake sio mgeni mechi za Simba vs Yanga, nimeanza kwenda uwanjani shamba la bibi Simba ile ya golini Mosses Mkandawile, kulia marehem Rafael Paul, kushoto Twaha Hamidu, nne Juma Seleman, sala Juma Limonga sita Aston Pardon.
Kwahiyo watoto wadogo waliozaliwa pamoja na akina Hamissa Mobetto, Dullah Makabila, Meja Kunta, Diamond, Harmonize, Mwijaku, Babalevo wanapotukana eti naendekeza ushirkina sana mwenye post zang nawaangalia tu.
Ila am sure mpira wa bongo hauwezi kufanikiwa bila mipango ya nje kwa sababu sisi agenda ya youth academy program is a myth.
Mukoko tonombe juzi amesema ukweli, mechi ya Simba vs Yanga wanaambiwa wasiwe na presha ile ni mechi ya viongozi, wao wafuate masharti yao tu, ndio maana jana mmeona wachezaji wa yanga wamepanda mabasi tofauti tofauti kwenda uwanjani.
Simba jana boli limetembea sana, kama sio Mzamiru kuleg lega hakukuwa na Pacome wala ushuzi wa Mzengeli, simba hii viungo Okajepha, Debora, Kagoma, Awesu, Ahoua kudadeki.
Ngoja gari liwake tutatafutana hapa hapa
Shida ni kwamba hata watoto wa kike nanyi munashabikia mchezo wa kiume...ile ilikuwa penalt clear kabisa ni kama ile ya dube kusukumwa na ile ya azizi k kuchezewa faulo ndani ya box japo ni matusi mimi kubishana na mtoto wa kikeMpumbavu wewe
We ndio mpumbavu kiwango cha lami aisee...kama unajua mpira ule unyama aliofanyiwa mchezaji wa Simba kwenye dk za nyiongeza inaliwekaje hilo...clear penati kabisa unaleta ushabiki matope hapa..mpumbavu weww