Hii Simba jamani kuna siku mtu atakula bao 10, nyie ngojeni tu

Wewe seme walau Simba walijitahidi mana walitakiwa kukandwa week (7).Ila yule Debora yupo vizuri.
 
Tatizo watu wanajua ukiwa mpinzani basi hutakiwi kusema ukweli, jana Simba mlicheza bana.! Igweeeeeeeee
Yani ukisema ukweli hata kama unawasifia wao wenyewe hawakupi likes wanaona kama sijui nini...
Kama juzi nilimpongeza Aziz K kwa zile tuzo wakawa wanapita comment kama wanaaga maiti...😃😃
Mimi namkubali sana Aziz ni hatari sana akiwa na mpira huo ndo ukweli...basi watu hawataki kusikia...
Asante mtani kwa niaba ya wanasimba wote napokea pongezi😀😀😀
 
Mimi Yanga ila Simba safari hii wapo vizuri, jana mechi ilikuwa kali sana.! Ukweli usemwe na huu ndio upinzani wa kweli.!
Uduguu pita kwa mangi, pata chochote nakuja kulipaa.
Leo umesema kitu cha maana sanaa.
 
Wapuuzi hao hawajui maana halisi ya ushabiki, hao ndio wanajiuaga kisa ushabiki maandazi.!! 😂😂😂
 
Wapuuzi hao hawajui maana halisi ya ushabiki, hao ndio wanajiuaga kisa ushabiki maandazi.!! 😂😂😂
Upumbavu mtupu...yani kama leo nina cheka vibaya mno kule kwa Ally Kamwe na harusi yake ya mchongo...😃😃😃 naona yule mubaba mwijaku atakua na adabu...
 
Hyo ratiba ya mshindi wa tatu mbona hatujaiona?
msikimbie mashindano kuweni naadabu,mngekuwa mnata kuwa washindi wa kwanza mngeshinda jana

coastal na simba wazee wa shirikisho aka kombe laser lazma kipigwe kutafuta mshindi wa tatu j2
 
msikimbie mashindano kuweni naadabu,mngekuwa mnata kuwa washindi wa kwanza mngeshinda jana

coastal na simba wazee wa shirikisho aka kombe laser lazma kipigwe kutafuta mshindi wa tatu j2
Hee jombaaa...kwa moto ule wa mnyama nani akimbie..nimeuliza nilitaka jibu....
Huko loser ndo kumewalea muwe na adabu...
 
Upumbavu mtupu...yani kama leo nina cheka vibaya mno kule kwa Ally Kamwe na harusi yake ya mchongo...😃😃😃 naona yule mubaba mwijaku atakua na adabu...
Kamdhalilisha kweli mkewe kaonekana wa hovyo.! Sasa huo ndio ushabiki gani km sio upumbavu?? 😂
 
Mimi Yanga ila Simba safari hii wapo vizuri, jana mechi ilikuwa kali sana.! Ukweli usemwe na huu ndio upinzani wa kweli.!
Ila ikumbukwe benchi la ufundi la Yanga haikuweza kuwasoma Simba kwavile Simba ilicheza kwa kujificha huku Yanga wakicheza michezo minne ya kirafiki live. Mechi ya marudiano isichukuliwe kuwa ni nyepesi kwa Simba pekee hata Yanga inaweza kushinda kiwepesi kwavile Gamondi atakuwa kaishawasoma wachezaji wa Simba na falsafa yao.
 
Kamdhalilisha kweli mkewe kaonekana wa hovyo.! Sasa huo ndio ushabiki gani km sio upumbavu?? 😂
Ni tabu sana...tatizo ana mdomo mnoo yani anaongea kupitiliza mpaka anaharibu
 
Vipi mlipata hata golf moja la offside? Yanga magoli matatu yote offside na ile moja ya dube imegonga mwamba hakuwa makini tu
 
Mpumbavu wewe

We ndio mpumbavu kiwango cha lami aisee...kama unajua mpira ule unyama aliofanyiwa mchezaji wa Simba kwenye dk za nyiongeza inaliwekaje hilo...clear penati kabisa unaleta ushabiki matope hapa..mpumbavu weww
Shida ni kwamba hata watoto wa kike nanyi munashabikia mchezo wa kiume...ile ilikuwa penalt clear kabisa ni kama ile ya dube kusukumwa na ile ya azizi k kuchezewa faulo ndani ya box japo ni matusi mimi kubishana na mtoto wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…