OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema.
Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye kifua (uvumilivu).
Huyu Fadlu atakata moto mapema sana, hana kifua, hana emotional intelligence
Ukimuangalia anavyoshangilia analipuka haswa, leo akikutana na kitu kizito kichwani atapata stress za kiwango cha SGR atapoteana mazima au kuokota makopo kabisa.
Beki za sasa za simba ni mlenda mlenda sana, pia golikipa salim kashuka sqna kiwango
Winga za simba ni afadhari hata onana
Ile simba ya akina phiri, Bareke, chama, saido, kanoute, inonga na kibu ndio ilikuwa chuma,
Hii simba itapoteana mapema tu
Fadlu ataacha kazi kwa kuchanganyikiwa na sio kufukuzwa
Tunzeni huu uzi