Hii Simba ya sasa ni mbovu kuliko Simba ya Robertinho na Benchkha

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema.

Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye kifua (uvumilivu).

Huyu Fadlu atakata moto mapema sana, hana kifua, hana emotional intelligence

Ukimuangalia anavyoshangilia analipuka haswa, leo akikutana na kitu kizito kichwani atapata stress za kiwango cha SGR atapoteana mazima au kuokota makopo kabisa.

Beki za sasa za simba ni mlenda mlenda sana, pia golikipa salim kashuka sqna kiwango

Winga za simba ni afadhari hata onana

Ile simba ya akina phiri, Bareke, chama, saido, kanoute, inonga na kibu ndio ilikuwa chuma,

Hii simba itapoteana mapema tu

Fadlu ataacha kazi kwa kuchanganyikiwa na sio kufukuzwa

Tunzeni huu uzi
 
Ujinga umesomea au ni kipaji umezaliwa nacho?
Niliwahi kuandika uzi hapa JF na kilitokea hicho hicho nilicho andika

Wewe si mwerevu ngoja tusubiri
 
Nimeshtushwa sana khaaa
 
Una kitu uzingatiwe
 
Nakuambia una watafuta ndugu yangu.
Subiri uone matusi.
Shabiki wa soka na wasiasa wa bongo hawataki kuambiwa ukweli.
Wanataka uwafariji uyasifie mapungufu ya vitu vyao.
 
"hii Simba ya sasa ni mbovu kuliko ile ya robertinho na benchikha" alisikika mlevi mmoja akisema😀😀😀
 
"Una akili weweee"

Aliimba msanii mmoja hivi
 
Niliwahi kuandika uzi hapa JF na kilitokea hicho hicho nilicho andika

Wewe si mwerevu ngoja tusubiri
Wewe ni hatari, hata kuhusu ujio wa batiki huenda uliandika kimoyo moyo mara paap hizi hapa.
 
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema.

Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye kifua (uvumilivu).

Huyu Fadlu atakata moto mapema sana, hana kifua, hana emotional intelligence

Ukimuangalia anavyoshangilia analipuka haswa, leo akikutana na kitu kizito kichwani atapata stress za kiwango cha SGR atapoteana mazima au kuokota makopo kabisa.

Beki za sasa za simba ni mlenda mlenda sana, pia golikipa salim kashuka sqna kiwango

Winga za simba ni afadhari hata onana

Ile simba ya akina phiri, Bareke, chama, saido, kanoute, inonga na kibu ndio ilikuwa chuma,

Hii simba itapoteana mapema tu

Fadlu ataacha kazi kwa kuchanganyikiwa na sio kufukuzwa

Tunzeni huu uzi
Dude chill, hawajaanza hata kucheza? Simba ina kikosi kipya so bado wanahitaji muda kuelewana, just chill and punguza mihemko
 
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema.

Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye kifua (uvumilivu).

Huyu Fadlu atakata moto mapema sana, hana kifua, hana emotional intelligence

Ukimuangalia anavyoshangilia analipuka haswa, leo akikutana na kitu kizito kichwani atapata stress za kiwango cha SGR atapoteana mazima au kuokota makopo kabisa.

Beki za sasa za simba ni mlenda mlenda sana, pia golikipa salim kashuka sqna kiwango

Winga za simba ni afadhari hata onana

Ile simba ya akina phiri, Bareke, chama, saido, kanoute, inonga na kibu ndio ilikuwa chuma,

Hii simba itapoteana mapema tu

Fadlu ataacha kazi kwa kuchanganyikiwa na sio kufukuzwa

Tunzeni huu uzi
Ngoja tukusikilize unaonekana unakitu
 
Unakipaji utafika mbali sana ila mwenzako kachungulia leo haji uwanjani
 
Haya sasa mdogo mdogo kocha kesha anza kudata hata wachezaji nao washaanza kudata mpaka waliopo benchi

Mapema tu wameanza kushindwa kukaba mpaka wanapigwa kadi hovyohovyo

This is the beggining
 
Ukwl ni kwamba simba inapaswa iongeze wachezaji wenye viwango na ubora wa CAF na sio ligi kuu.

mfano baluya,karabaka,chasambi hawatoshi kucheza simba.hizo ni level za namungo au ruvu shooting..

Simba wachezaji wake wana papara sn na wakifika ndani ya box la mpinzani.

Hii inaonyesha kutokuwa na experience na ubora ktk mechi za ushindani.
 
Back
Top Bottom