Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani?

== == ===
DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.

Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kumtakia heri kwenye majukumu hayo mapya, Mzee Makamba amemzawadia Balozi Dk. Nchimbi shati moja la sare ya Chama Cha Mapinduzi, ikiwa ni ishara ya kifaa cha kazi, ambapo Katibu Mkuu huyo wa CCM, alipokea pongezi na kumshukuru kwa zawadi hiyo.
Mental illness is so real!! Sasa hiyo simu na hadhi vinahusiana nini? Nchi ina mipumbavu hii sijai ona!!
 
Kumbe mzee Yusufu Makamba ni mzaliwa wa Dar! Nchi imeendelea sasa yeye anakimbia nini kwao huko Bumburi!
 
Kwa akili hata za Chekechea unadhani huyo mzee wa kujivua gamba hana smart phone ya maana?
Mtu alikuwa na nyadhifa kibao.
Pia ana watoto kibao wenye nyadhifa na pesa leo unakuja kuanzisha uzi kwa swali la kindezi grow up dogo..?!?!
Hatuna kazi mkuu, tupotupo ndo tatizo lilipoanzia.
 
Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani?

== == ===
DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.

Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kumtakia heri kwenye majukumu hayo mapya, Mzee Makamba amemzawadia Balozi Dk. Nchimbi shati moja la sare ya Chama Cha Mapinduzi, ikiwa ni ishara ya kifaa cha kazi, ambapo Katibu Mkuu huyo wa CCM, alipokea pongezi na kumshukuru kwa zawadi hiyo.
Satelite phone hiyo
 
Back
Top Bottom