Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Trump nae apewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hawa ni wapendanao watatu ambao ni mzee mwenyewe Saint Ivuga na warembo wake wawili, wasichana wazuri kuliko wote hapa JF relato na Inna.
mwana Jf yoyote mwenye macho juu juu anapewa warning kuwa apite mbali na hawa wadada wapo occupied
Hongera mkuu ila wahusika wamekakaa kimyaHawa ni wapendanao watatu ambao ni mzee mwenyewe Saint Ivuga na warembo wake wawili, wasichana wazuri kuliko wote hapa JF relato na Inna.
mwana Jf yoyote mwenye macho juu juu anapewa warning kuwa apite mbali na hawa wadada wapo occupied
Hawa ni wapendanao watatu ambao ni mzee mwenyewe Saint Ivuga na warembo wake wawili, wasichana wazuri kuliko wote hapa JF relato na Inna.
mwana Jf yoyote mwenye macho juu juu anapewa warning kuwa apite mbali na hawa wadada wapo occupied
Hatufanyagi threesome.Basi sawa
Naona mnafaidi 3some.
Ha ha h mkuu kwa hio hapo ninahujumu uchumi wa nchi?Huko ni kujilimbikizia mali ya umma!
Walaa.Mbona kama hujiamini, wewe utakua mshika pembe..!!
Hio sio maana yake.Ina maana wanawake hao wana uhaba wa dushe adi wanagombea moja
Ni visuuuu.Wazuri kuliko wote?!...hehehehe
Mtumishi naomba unipe maana ya neno hiliNa ndipo Yuda akauliza "Bwana na mimi mwenzangu ni nani?" Naye Bwana akajibu "Hebu kua siriasi utawaweza wote hao?"
Na Yuda akafadhaika moyoni akaona ni heri ampige bei Bwana kwa shekeli 30, povu alilomwagiwa liliosha kanzu 12 za wanafunzi wote ambao hawakuwahi kufanya mtihani.
Ung3s3 1: 2 - 5