Na ndipo Yuda akauliza "Bwana na mimi mwenzangu ni nani?" Naye Bwana akajibu "Hebu kua siriasi utawaweza wote hao?"
Na Yuda akafadhaika moyoni akaona ni heri ampige bei Bwana kwa shekeli 30, povu alilomwagiwa liliosha kanzu 12 za wanafunzi wote ambao hawakuwahi kufanya mtihani.
Ung3s3 1: 2 - 5