Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

Hii sio couple ni Triple ambayo haijawahi kutokea hapa JF

Mahondaw hakuna kitu. Mimi namfahamu chini juu.
Ni mzuri kwako. Ila mahondaw hapa Jf hamzidi hata Nazjaz.
Ukija kwa Inna yani sitaki hata kuelezea sifa za huyu mtoto kwani mtamsumbua. Ila JF nzima hakuna, ukija kwa relato tena hapa ndio hatari.
Mimi sibahatishi. Nilikuwa nadate ngozi nyeupe miaka kibao kwa hio nikikuambia huyu muafrica ni kisu huwa sibahatishi.
Hutaki acha. Nenda kwa makonda wako mkanywe naye chai
h haha ha haah ah ahaa,sawa mkuu!
 
h haha ha haah ah ahaa,sawa mkuu!
Swahiba lakini hapa tunaongea tu kama wanaume.
Wote watoto hao ni wakali. Mahondaw ni mkali sikatai mpwa.
Sasa Inna na relato uzuri wao mchukue mahondaw afu muongezee vikorombwezo.

Tukija kwa huyu mtoto ninayemfukuzia anayeitwa Nazjaz naye ni moto wa kuotea mbali. Ana vichuchu kasusiia na muumba yani kama muumba alikuwa hataki kumpa chuchu kwa hio kamwambia haya hivyo hapo nimeviweka kama alama. Afu vimesimama hatari.
 
Mkuu usiifanye iweka kama sheria. Hapa tunaongea tu. Kwa hio mimi kama binadamu naweza kusahau pia
Haina noma, ila na sisi ni binadamu tunaweza kusahau pia.

Ndiyo maana nasisitiza picha zizidi kutukumbusha.

Mtu anaweza kusahau thread, lakini ukiweka picha tutawakumbuka kina shemeji na kuweka mipaka inayofaa.
 
Hawa ni wapendanao watatu ambao ni mzee mwenyewe Saint Ivuga na warembo wake wawili, wasichana wazuri kuliko wote hapa JF relato na Inna.
mwana Jf yoyote mwenye macho juu juu anapewa warning kuwa apite mbali na hawa wadada wapo occupied:
Conclusion:
Wana JF wote mimi ni shemela wenu aka bwashee
Vitu vizuri kula na ndguzo bhana
 
Back
Top Bottom