LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
h haha ha haah ah ahaa,sawa mkuu!Mahondaw hakuna kitu. Mimi namfahamu chini juu.
Ni mzuri kwako. Ila mahondaw hapa Jf hamzidi hata Nazjaz.
Ukija kwa Inna yani sitaki hata kuelezea sifa za huyu mtoto kwani mtamsumbua. Ila JF nzima hakuna, ukija kwa relato tena hapa ndio hatari.
Mimi sibahatishi. Nilikuwa nadate ngozi nyeupe miaka kibao kwa hio nikikuambia huyu muafrica ni kisu huwa sibahatishi.
Hutaki acha. Nenda kwa makonda wako mkanywe naye chai