babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Ubuntu botho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu anayesugua benchi anapata zaidi ya mara 6 ya mshahara wa mvuja jasho mkuu wa timu? Hii kitaalam tunaitaje wakuu?
Kikubwa kama huo upande atapata zaidi asepe tu hakuna namnaPamoja na juhudi zote anazozionesha uwanjani, Rastamani analamba 4m tu, ila yule mmakonde ambaye anasugua benchi analamba mil 25..
Rastaman ameona mchango wake hauthaminiwi hivyo kaamua kusinya upande wa pili.
Ubuntu botho[emoji23][emoji23]
To yeye cjakuelewa upo nyekundu , njano au blue/WhiteSawasawa
Ficha uwezo wako wa kufikiri huwezi ukamlinganisha kibu na luisMtu anayesugua benchi anapata zaidi ya mara 6 ya mshahara wa mvuja jasho mkuu wa timu? Hii kitaalam tunaitaje wakuu?
Kwani najua sasa🤣🤣🤣To yeye cjakuelewa upo nyekundu , njano au blue/White
Una mtindio wa ubongo? Mchezaji asiye na mchango kwenye timu anakuwaje na thamani kuliko mchezaji tegemeo wa timu? Football is all about present achana na historiaFicha uwezo wako wa kufikiri huwezi ukamlinganisha kibu na luis