Hii sio Haki, Wakati kondeboy akikunja mil 25, Rastaman yeye anakula mil 4

Hii sio Haki, Wakati kondeboy akikunja mil 25, Rastaman yeye anakula mil 4

Una mtindio wa ubongo? Mchezaji asiye na mchango kwenye timu anakuwaje na thamani kuliko mchezaji tegemeo wa timu? Football is all about present achana na historia
Tegemeo kwenye kipi mkuu mm ni mwana simba lakini sasahv sijaona mchango wake kwa nafasi yake i say kwa nafasi yake ila konde ni mchezaji mzuri sio kwa ku create chance au kufunga ila hapati nafasi mkuu jarbu kuushirikisha ubongo kabla hujachangia hoja
 
Una mtindio wa ubongo? Mchezaji asiye na mchango kwenye timu anakuwaje na thamani kuliko mchezaji tegemeo wa timu? Football is all about present achana na historia
Kibu anategemewa kwa lipi Simba? Yaani tumtegemee mshambuliaji anayefunga goli 1 kwa msimu mzima si tungeshuka daraja tayari?
Luis ni bora sana kuliko Kibu, pamoja na kucheza mechi chache lakini anamzidi kitakwimu Kibu D
 
Malipo ya Wachezaji ktk Mpira wa miguu hayako kama mnavyofikiria watanzania
 
Mtu anayesugua benchi anapata zaidi ya mara 6 ya mshahara wa mvuja jasho mkuu wa timu? Hii kitaalam tunaitaje wakuu?
Tunaita kila mchezaji ana mkataba wake binafsi aliokubaliana na klabu. Kama Kibu alikubali kulipwa hiyo hela na akasaini we ni nani usimamishe misuli ya shingo. Kama ameonyesha juhudi basi mkataba wake utaboreshwa au ataondoka kwenda timu nyingine. Huwa nashangaa sana kuona watu wanafananisha mikataba binafsi ya wachezaji kana kwamba wachezaji walilazimishwa kusaini.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
Screenshot_2023-11-23-13-56-10-25_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kibu anategemewa kwa lipi Simba? Yaani tumtegemee mshambuliaji anayefunga goli 1 kwa msimu mzima si tungeshuka daraja tayari?
Luis ni bora sana kuliko Kibu, pamoja na kucheza mechi chache lakini anamzidi kitakwimu Kibu D
Mmeanza kumkana .. aseeee....
 
Sasa hivi Kila mchezaji analipwa kutokana na alivyoingia mkataba, walivyoweka mshahara wa Mzize ambaye anapitwa Mara kumi na WA Mkude ambaye anapata nafasi pale viungo wakiwa na Kadi au wameumia hatukusikia kelele .
Kibu ni mtu mzima Kama kahaidiwa donge nono aende.
 
Pamoja na juhudi zote anazozionesha uwanjani, Rastamani analamba 4m tu, ila yule mmakonde ambaye anasugua benchi analamba mil 25..

Rastaman ameona mchango wake hauthaminiwi hivyo kaamua kusinya upande wa pili.

Ubuntu botho[emoji23][emoji23]
Tunamtakia Kila la heri huko aendako.
 
Back
Top Bottom