Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Tegemeo kwenye kipi mkuu mm ni mwana simba lakini sasahv sijaona mchango wake kwa nafasi yake i say kwa nafasi yake ila konde ni mchezaji mzuri sio kwa ku create chance au kufunga ila hapati nafasi mkuu jarbu kuushirikisha ubongo kabla hujachangia hojaUna mtindio wa ubongo? Mchezaji asiye na mchango kwenye timu anakuwaje na thamani kuliko mchezaji tegemeo wa timu? Football is all about present achana na historia
Kwani najua sasa
Kibu anategemewa kwa lipi Simba? Yaani tumtegemee mshambuliaji anayefunga goli 1 kwa msimu mzima si tungeshuka daraja tayari?Una mtindio wa ubongo? Mchezaji asiye na mchango kwenye timu anakuwaje na thamani kuliko mchezaji tegemeo wa timu? Football is all about present achana na historia
Tunaita kila mchezaji ana mkataba wake binafsi aliokubaliana na klabu. Kama Kibu alikubali kulipwa hiyo hela na akasaini we ni nani usimamishe misuli ya shingo. Kama ameonyesha juhudi basi mkataba wake utaboreshwa au ataondoka kwenda timu nyingine. Huwa nashangaa sana kuona watu wanafananisha mikataba binafsi ya wachezaji kana kwamba wachezaji walilazimishwa kusaini.Mtu anayesugua benchi anapata zaidi ya mara 6 ya mshahara wa mvuja jasho mkuu wa timu? Hii kitaalam tunaitaje wakuu?
Mmeanza kumkana .. aseeee....Kibu anategemewa kwa lipi Simba? Yaani tumtegemee mshambuliaji anayefunga goli 1 kwa msimu mzima si tungeshuka daraja tayari?
Luis ni bora sana kuliko Kibu, pamoja na kucheza mechi chache lakini anamzidi kitakwimu Kibu D
Tunamtakia Kila la heri huko aendako.Pamoja na juhudi zote anazozionesha uwanjani, Rastamani analamba 4m tu, ila yule mmakonde ambaye anasugua benchi analamba mil 25..
Rastaman ameona mchango wake hauthaminiwi hivyo kaamua kusinya upande wa pili.
Ubuntu botho[emoji23][emoji23]