Hii sio sawa kabisa Fredy Vunjabei

Hii sio sawa kabisa Fredy Vunjabei

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga ..

Imagine kama kale kajengo kangeanguka leo hii hii siku ya nane nane ingekuwa simanzi kwa baadhi ya familia

 
Kwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga...
Fresh tyu mbona, yaaan hapo mzuka umepanda kisawasawa
 
Simba inapendwa sana,nimenuona shabiki lialia wa yanga hapo juu anagombania uzi wa mnyama
 
Back
Top Bottom