luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kweli mkuu tunachukulia vitu simple lkn hii alipaswa apelekwe ktk vyombo vya sheriaHatari sana
Fresh tyu mbona, yaaan hapo mzuka umepanda kisawasawaKwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga...
unateseka na nini etKweli mkuu tunachukulia vitu simple lkn hii alipaswa apelekwe ktk vyombo vya sheria
Siyo kuteseka issue ni usalama wa hao raiaunateseka na nini et
Mkuu huyo anaongelea ushabiki tu ili wabishane na yangaSiyo kuteseka issue ni usalama wa hao raia