Hii siyo fair kabisa Salah kulipwa mshahara kidogo hivi

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Za wikendi wadau,

Yanii Lukaku anamzidi Salah kwa mshahara no way. Haiwezekani Salah alipwe Pauni elfu 90 kwa wiki hii haingii akilini kabisa. Eti Pogba naye anamzidi Salah kwa mshahara. Eti de gea naye. Eti sterling naye, etide bryune naye. SALAH ANATAKIWA ALIPWE PAUNI LAKI SITA KWA WIKI.

liverpool acheni mchezo eti sasa hivi wanataka kumuongezea Salah mshahara awe akilipwa pauni laki mbili kwa wiki. Iyo ni kidogo aileti uhiano na mantiki bana. Kuna kaubaguzi flani EPL.
Screenshot_2018-05-05-18-59-46.png
 
Duuuh mkuuu mshahara waga unapangwa na merchanism inayoitwa market force ambapo tunakuta kuwa force of demand ndo inaamua bei ya bidhaa sokoni kipindi inapokuwa inauzwa na sio inapokuwa inatumika mkuu ivo tusiraumu sana kma sasa mo passion akiamua kuhama kokote atakako kwenda ataliowa fedha nzuri sana cc izengo
 
shkran kwa ufafanuz. Ila bado tu haileti uhiano
 
Mkuu mo salah wakati anachukukiwa na liverpool hakuwa kwenye form aliyo nayo sasa ivi the sane tu pogba wakati anachukuliwa na man u alikuwa kwenye form kubwa sana na ndo mana dau na mshahara wake vilikuwa juu sana ila kwa sasa mo na pogba wakiuzwa usishangae mo akaliowa pesa nyingi zaidi ya pogba sababu ni nini jibu nazani utakua nalo kichwani mkuu
 
Kila Club ina sheria zake juu ya mishahara ili kudhibiti hilo Liverpool watamlipa kulingana na wanavyoona itaweka uwiano na wachezaji wenzie otherwise asubiri mkataba uishe atembee!!..
Mambo ya kuangalia nani analipaje na sisi wengine tulipaje labda huku Africa lakini sio Europe!.
Mchezaji anavyojiweka nayo ni brand cr7 ukimtaka lazima ulipie na hiyo nembo yake . Sasa Ustaadh akijiweka na Quran sana unategemea wamlipe nini!?..
 
Nje ya 'Uzungu na Uamerika' ....hamna watu wanaothaminiwa na wazungu/waamerika.

Eti wakaseMa Salah apewe Tuzo ya akina Ronald ..nani kasema ??? Mwarabu huyuhuyu???? Duuuhhh itakua ni ndoto.
 
Salah atakula mpunga mwingu akiingia mkataba mpya! We ulitegemea salah alipotoka roma kuja inter ndio achukue pauni 250k, kwa kipi alichokuwa kakitenda huko roma, alikuwa mchezaji mzuri ila hakuwa na maajabu hayo, kuna vitu vinachochea kubeba mshahara mkubwa..

Kwa alichokifanya liverpool sasa ndio tiketi yakuvuna mpunga mrefu ni suala la muda tu.
 
Nje ya 'Uzungu na Uamerika' ....hamna watu wanaothaminiwa na wazungu/waamerika.

Eti wakaseMa Salah apewe Tuzo ya akina Ronald ..nani kasema ??? Mwarabu huyuhuyu???? Duuuhhh itakua ni ndoto.

Kweli kabisa. Inachangia na uarabu pia...hivyo sio rahisi kwake...bora asepe aende Spain.
 
Za wikendi wadau,

Yanii Lukaku anamzidi Salah kwa mshahara no way. Haiwezekani Salah alipwe Pauni elfu 90 kwa wiki hii haingii akilini kabisa. Eti Pogba naye anamzidi Salah kwa mshahara. Eti de gea naye. Eti sterling naye, etide bryune naye. SALAH ANATAKIWA ALIPWE PAUNI LAKI SITA KWA WIKI.

liverpool acheni mchezo eti sasa hivi wanataka kumuongezea Salah mshahara awe akilipwa pauni laki mbili kwa wiki. Iyo ni kidogo aileti uhiano na mantiki bana. Kuna kaubaguzi flani EPL.
View attachment 766875

Amedhulumiwa haswaa.
 
yani alex sanchez mie sijajuaga kwa nini huwa wanampa mshahara mkubwa,yani kiwango chake huwa nakiona cha kawaida sana-sijui ni nyota
 
Za wikendi wadau,

Yanii Lukaku anamzidi Salah kwa mshahara no way. Haiwezekani Salah alipwe Pauni elfu 90 kwa wiki hii haingii akilini kabisa. Eti Pogba naye anamzidi Salah kwa mshahara. Eti de gea naye. Eti sterling naye, etide bryune naye. SALAH ANATAKIWA ALIPWE PAUNI LAKI SITA KWA WIKI.

liverpool acheni mchezo eti sasa hivi wanataka kumuongezea Salah mshahara awe akilipwa pauni laki mbili kwa wiki. Iyo ni kidogo aileti uhiano na mantiki bana. Kuna kaubaguzi flani EPL.
View attachment 766875
Acha kumfananisha pogba/de gea na mambo ya kipuuzi puuzi.
 
Back
Top Bottom