shkran kwa ufafanuz. Ila bado tu haileti uhianoDuuuh mkuuu mshahara waga unapangwa na merchanism inayoitwa market force ambapo tunakuta kuwa force of demand ndo inaamua bei ya bidhaa sokoni kipindi inapokuwa inauzwa na sio inapokuwa inatumika mkuu ivo tusiraumu sana kma sasa mo passion akiamua kuhama kokote atakako kwenda ataliowa fedha nzuri sana cc izengo
Salah ametua liverpool kama mchezaji wa kiwango cha kati ona dau lake na mshahara wake, toka ameanza kuperform ndo madau yanakuja na liverpool wanataka waboreshe mshahara wake.shkran kwa ufafanuz. Ila bado tu haileti uhiano
Mkuu mo salah wakati anachukukiwa na liverpool hakuwa kwenye form aliyo nayo sasa ivi the sane tu pogba wakati anachukuliwa na man u alikuwa kwenye form kubwa sana na ndo mana dau na mshahara wake vilikuwa juu sana ila kwa sasa mo na pogba wakiuzwa usishangae mo akaliowa pesa nyingi zaidi ya pogba sababu ni nini jibu nazani utakua nalo kichwani mkuushkran kwa ufafanuz. Ila bado tu haileti uhiano
kwahiyo Zidane mzungu?!Nje ya 'Uzungu na Uamerika' ....hamna watu wanaothaminiwa na wazungu/waamerika.
Eti wakaseMa Salah apewe Tuzo ya akina Ronald ..nani kasema ??? Mwarabu huyuhuyu???? Duuuhhh itakua ni ndoto.
Tunasahau harakakwahiyo Zidane mzungu?!
Huyo usimlinganishe pesa yake na wachezaji waliopo nje ya Liverpool!muache ahame tu aende man city akale punga
Ni Mkuryakwahiyo Zidane mzungu?!
Nje ya 'Uzungu na Uamerika' ....hamna watu wanaothaminiwa na wazungu/waamerika.
Eti wakaseMa Salah apewe Tuzo ya akina Ronald ..nani kasema ??? Mwarabu huyuhuyu???? Duuuhhh itakua ni ndoto.
Ni Mkurya
kwahiyo Zidane mzungu?!
Za wikendi wadau,
Yanii Lukaku anamzidi Salah kwa mshahara no way. Haiwezekani Salah alipwe Pauni elfu 90 kwa wiki hii haingii akilini kabisa. Eti Pogba naye anamzidi Salah kwa mshahara. Eti de gea naye. Eti sterling naye, etide bryune naye. SALAH ANATAKIWA ALIPWE PAUNI LAKI SITA KWA WIKI.
liverpool acheni mchezo eti sasa hivi wanataka kumuongezea Salah mshahara awe akilipwa pauni laki mbili kwa wiki. Iyo ni kidogo aileti uhiano na mantiki bana. Kuna kaubaguzi flani EPL.
View attachment 766875
Acha kumfananisha pogba/de gea na mambo ya kipuuzi puuzi.Za wikendi wadau,