Hii siyo fair kabisa Salah kulipwa mshahara kidogo hivi

Kama liverpool hamna pesa unamlaumu nani?
Kama mna pesa mlipeni vizur.. kama hamna pesa endeleeni hivyo.hivyo... real wamchukue wampe na mpango wa maana.
 
Aende atakako akakalie bench yale mafanikio hayakuja kwa utundu wake nyie jisahaulisheni tu
 
Mashahara Hauongezwi Kama Zinavyoongezwa Bei Nyanya Sokoni!

Mshahara Unaongezwa Kwa Mkataba tu na so Njia Nyengine..

Wakati Mo Salah anatoka Roma na Kuja Liverpool Katika Mazungumzo Alikubali Kulipwa £90,000 ambayo Kwa Wakati Huo Kulingana Na Performance Yake ilikuwa Ni Hela Ndefu Sana Kwake.

Ni Sawa Na Pogba usifikirie Kuwa Akitia Mkataba Mpya Atakubali Kulipwa Hiyo anayolipwa! Ni Lazima Atataka £350,000 au Zaidi.

Ni Sawa Na Frimino Wakati Anajiunga na Liverpool alikuwa Analupwa £100,000 ambayo Kwa Wakati Huo ilikuwa Ni Hela Kubwa Kwake! Lakini Katika Mkataba Mpya Aliyotia Saini Hivi Majuzi Ameongezewa na Kufikia £180,000 ambayo Ni wastani Wa Kiwango Chake Kwa Sasa.

Hata Hao Real au Barcelona wangemnunua Wao Mo Salah Kutoka Roma basi Kwa Alivyokuwa Wakati Huo usidhanie Kama Wangemlipa £400,000.

Kwahiyo ili Mo Salah Aongezewe Pesa Ni Lazima Aongeze Mkataba Mpya ili Adai Hela Anayotaka.
 
Aende atakako akakalie bench yale mafanikio hayakuja kwa utundu wake nyie jisahaulisheni tu

Umenena mdau, hata mimi hilo nimeliona. Klopp amewanoa vilivyo wachezaji wa pale Anfield kiasi kwamba mfumo wake ndio unaonekana kuwabeba zaidi.
 
Umemaliza yote
 

Hata agent ana sauti sana.
Wakiona zengwe wanaangalia upya mkataba.
Angekua na agent mwenye fitna wangeshaongeza au ahadi ya kuongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…