Hii siyo sawa kabisa, inakuwaje wezi wa kuku wanatupwa jela, wakati wezi wa mali ya umma wanaachwa huru?

Maza alisema anazo taarifa Kuna baadhi ya maofisa wa polisi WANACHUKUA mafuta, hakusema WANAIBA mafuta.

Anazo taarifa hadi namba za magari yanayokunywa mafuta hayo,

Tuanzie Hapo Kwenye mafuta kuchukuliwa? Matumizi ya hayo mafuta yanajulikana sasa kwanini aseme mafuta yanachukuliwa?

Itakuwa hataki kusema mafuta yanaibiwa ili hao maofisa wa polisi wasionekane wezi na wasiwe na kesi ya kujibu.

Kulikuwa Kuna ulazima gani wa kuongelea swala la mafuta ya polisi kutumika Kwenye daladala Kama hakuna hatua zilizo chukuliwa?

Mafuta yaliyo chukuliwa ni lita ngapi? Yamesharudishwa?

Hao maofisa wanaochukua mafuta hayo ni wakina nani? Jibu sahihi maza atusaidie.
 
Ni kwanini basi, hawawaiti wale wezi wa kuku nao, kuwa WANACHUKUA hao kuku, kwa ajili ya kujisaidia kitoweo chao?😄
 
Hao unaowaita wezi wa mali ya uma ndio wameshika mpini sasa watajifungaje?.
 
Inategemea na umeiba wapi.
Ukiibia umma walaaaa hufungwi
Ukiibia mtu aaaah mapeeeema!
 
Back
Top Bottom