PreGE2025 Hii slogan ya "No Reform, No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,639
Reaction score
2,384
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Umedanganyika kirahisi sana
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Chadema hawana cha kupoteza labda Chauma TLP na takataka zingine
 
Hebu tuondolee utaahira wako hapa,Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya uchaguzi,mnatumia nusu Trilioni ya kodi zetu kuigiza uchaguzi, wapumbavu kabisa nyie,hicho mnachoita ushindi wa kishindo ni sawa na kupiga punyeto tu.
 
Hebu tuondolee utaahira wako hapa,Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya uchaguzi,mnatumia nusu Trilioni ya kodi zetu kuigiza uchaguzi, wapumbavu kabisa nyie,hicho mnachoita ushindi wa kishindo ni sawa na kupiga punyeto tu
Wanaosusia uchaguzi ni matahira mara mbili
Hebu tuondolee utaahira wako hapa,Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya uchaguzi,mnatumia nusu Trilioni ya kodi zetu kuigiza uchaguzi, wapumbavu kabisa nyie,hicho mnachoita ushindi wa kishindo ni sawa na kupiga punyeto tu.
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Hizo chaguzi zote ambazo ccm huwa wanatangazwa washindi huwa ni kwa njia ya kura? Hakuna wajinga wa kwenda kujaza vituo vya kura, kisha kumtanganza mgombea wa ccm bila kujali box la kura lina matokoe gani. Kama mnadhani mkisema hivi ndio mtawafanya wapinzani wakajiandikishe ili kujaza vituo vya kura, basi mmeukalia safari hii.
 
Nchimbi anawapapasa kweli vijana kiasi Leo mnashusha manyuzi meengi.
 
Hizo chaguzi zote ambazo ccm huwa wanatangazwa washindi huwa ni kwa njia ya kura? Hakuna wajinga wa kwenda kujaza vituo vya kura, kisha kumtanganza mgombea wa ccm bila kujali box la kura lina matokoe gani. Kama mnadhani mkisema hivi ndio mtawafanya wapinzani wakajiandikishe ili kujaza vituo vya kura, basi mmeukalia safari hii.
Mwaka huu mmeyakanyaga.Slogani ya kijinga kabisa
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Kwani kipindi chote walivyo jiandikisha wamepata nini zaidi tu ya Rudhuku waliyo nunulia jengo
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa

View: https://x.com/kigogo2014/status/1903072147129385125?t=UrgsR62jaw2BW6WZQp0OhA&s=19
 
Lazima chama kiwe na madiwani na wabunge wa kuwapa joto waliopo madarakani kufanya vitu kwa usahihi na kutimiza yale mnayokubaliana kama si hivyo tutaimba mabadiliko mpaka karne
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
HII NDO NZURI ITATUSAIDIA KUJUA MTAANI KWETU YUPI WA KUCHEKA NAYE YUPI WA KUJITENGA NAYE.
SISI MTAANI TUMEKUBALIANA ATAKAYE KWENDA KUPIGA KURA BILA MADILIKO TUTAMTENGA
 
Umeongea ukweli mtupu
 
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Uchaguzi upi?
 
Back
Top Bottom