Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Umedanganyika kirahisi sanaHii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Chadema hawana cha kupoteza labda Chauma TLP na takataka zingineHii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Hebu tuondolee utaahira wako hapa,Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya uchaguzi,mnatumia nusu Trilioni ya kodi zetu kuigiza uchaguzi, wapumbavu kabisa nyie,hicho mnachoita ushindi wa kishindo ni sawa na kupiga punyeto tu.Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Wanaosusia uchaguzi ni matahira mara mbiliHebu tuondolee utaahira wako hapa,Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya uchaguzi,mnatumia nusu Trilioni ya kodi zetu kuigiza uchaguzi, wapumbavu kabisa nyie,hicho mnachoita ushindi wa kishindo ni sawa na kupiga punyeto tu
Hebu tuondolee utaahira wako hapa,Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya uchaguzi,mnatumia nusu Trilioni ya kodi zetu kuigiza uchaguzi, wapumbavu kabisa nyie,hicho mnachoita ushindi wa kishindo ni sawa na kupiga punyeto tu.
Hizo chaguzi zote ambazo ccm huwa wanatangazwa washindi huwa ni kwa njia ya kura? Hakuna wajinga wa kwenda kujaza vituo vya kura, kisha kumtanganza mgombea wa ccm bila kujali box la kura lina matokoe gani. Kama mnadhani mkisema hivi ndio mtawafanya wapinzani wakajiandikishe ili kujaza vituo vya kura, basi mmeukalia safari hii.Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Mwaka huu mmeyakanyaga.Slogani ya kijinga kabisaHizo chaguzi zote ambazo ccm huwa wanatangazwa washindi huwa ni kwa njia ya kura? Hakuna wajinga wa kwenda kujaza vituo vya kura, kisha kumtanganza mgombea wa ccm bila kujali box la kura lina matokoe gani. Kama mnadhani mkisema hivi ndio mtawafanya wapinzani wakajiandikishe ili kujaza vituo vya kura, basi mmeukalia safari hii.
Mlitegemea watu wataendelea kujitokeza kwenye hayo maigizo?Wanaosusia uchaguzi ni matahira mara mbili
Kwa hiyo CHADEMA iko kwa ajili ya kushindwaSasa ndiyo mfurahi mshindane wenyewe
Chama kikikosa madiwani,wabunge na nafasi nyingine kinakuwa KIMEPOTEZA.Chadema hawana cha kupoteza labda Chauma TLP na takataka zingine
Kwani kipindi chote walivyo jiandikisha wamepata nini zaidi tu ya Rudhuku waliyo nunulia jengoHii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
HII NDO NZURI ITATUSAIDIA KUJUA MTAANI KWETU YUPI WA KUCHEKA NAYE YUPI WA KUJITENGA NAYE.Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.
Wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakahamasishana na kuhamasishana kutojiandikisha kwa kutumia slogani yao hapa wamepoteza wapiga kura wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawaambia hakuna atakayeshangaa CHADEMA kushindwa uchaguzi vibaya sana.Mtamkumbuka nguli la siasa Mr Mbowe .CHADEMA ya Lisu,Heche na Lema inaangamia kwa KUKOSA maaarifa
Umeongea ukweli mtupuHII NDO NZURI ITATUSAIDIA KUJUA MTAANI KWETU YUPI WA KUCHEKA NAYE YUPI WA KUJITENGA NAYE.
SISI MTAANI TUMEKUBALIANA ATAKAYE KWENDA KUPIGA KURA BILA MADILIKO TUTAMTENGA
CCM huwa haishindani na haitegemei kura CCM sio mshindani ni Mapolisi na Tume Feki ndiyo wanaotumika.Sasa ndiyo mfurahi mshindane wenyewe
Uchaguzi upi?Hii slogan ya "No Reform No Election" imetumiwa vizuri sana na wanachama wa CCM.Wanachama na mashabiki wa CCM wakahamasishana na kuhamasishana kwenda kujiandikisha kwa wingi ili wawe na sifa ya kupiga kura.