Hii sms kuhusu TCU ina ukwel wowote........................ ...............????!?

Landcruiser

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
1,805
Reaction score
599
Nimepokea hii sms kutoka kwa kwa watu tofauti tofauti sasa sijui kama ina ukweli wowote ,manake hata kwenye website ya TCU sioni hili Tangazo.

TCU kwenye tovuti yao wameandika kwamba kabla ya tarehe tisa mwezi huu watatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo isipokua kwa wale walioomba kwa awamu ya pili yaani yale majina yaliyotolewa kwenye tovuti ya wale wanaotakiwa kufanya application upya nao kabla ya tarehe 15 august nayo majina yao yatatoka, na chuo ni kama kawaida muhula mpya wa masomo unaanza september mwishoni kwa baadhi ya vyuo na october kwa baadhi ya vyuo!!! upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako.
 
nyie madogo mtakufa na presha bure'''ha haaaa
 
itakua kweli mpaka pale tutakapoona hayo majina kabla ya jumamosi wiki hii.
 
unauhakika na habari hii.!!???

Lol..!! Umesoma vizuri post ya afande alenMwita? Yeye mwenyewe hana uhakika ndo maana kaianika hapa jamvin.. Sasa ww unamuuliza kivp Afande?
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea hii sms kutoka kwa kwa watu tofauti tofauti sasa sijui kama ina ukweli wowote ,manake hata kwenye website ya TCU sioni hili Tangazo.

TCU kwenye tovuti yao wameandika kwamba kabla ya tarehe tisa mwezi huu watatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo isipokua kwa wale walioomba kwa awamu ya pili yaani yale majina yaliyotolewa kwenye tovuti ya wale wanaotakiwa kufanya application upya nao kabla ya tarehe 15 august nayo majina yao yatatoka, na chuo ni kama kawaida muhula mpya wa masomo unaanza september mwishoni kwa baadhi ya vyuo na october kwa baadhi ya vyuo!!! upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako.

STress Zitawaua
 
Lol..!! Umesoma vizuri post ya afande alenMwita? Yeye mwenyewe hana uhakika ndo maana kaianika hapa jamvin.. Sasa ww unamuuliza kivp Afande?

si ndo mie nashangaa, watu wa hvi ni wa kupgwa panga ya shingo tu
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea hii sms kutoka kwa kwa watu tofauti tofauti sasa sijui kama ina ukweli wowote ,manake hata kwenye website ya TCU sioni hili Tangazo.

TCU kwenye tovuti yao wameandika kwamba kabla ya tarehe tisa mwezi huu watatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo isipokua kwa wale walioomba kwa awamu ya pili yaani yale majina yaliyotolewa kwenye tovuti ya wale wanaotakiwa kufanya application upya nao kabla ya tarehe 15 august nayo majina yao yatatoka, na chuo ni kama kawaida muhula mpya wa masomo unaanza september mwishoni kwa baadhi ya vyuo na october kwa baadhi ya vyuo!!! upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako.

Nahisi kuna group la watu wamezusha, maana ukienda kwenye website yao hakuna kitu kama hicho.. mi mwenyewe nilipata mesejikama hii
 
TCU hawana tatizo kivumbi kiko kwa Bwana HESLB tunaetaka kufunga nae ndoa ya mkopo.
 
Back
Top Bottom