Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Nimepokea hii sms kutoka kwa kwa watu tofauti tofauti sasa sijui kama ina ukweli wowote ,manake hata kwenye website ya TCU sioni hili Tangazo.
TCU kwenye tovuti yao wameandika kwamba kabla ya tarehe tisa mwezi huu watatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo isipokua kwa wale walioomba kwa awamu ya pili yaani yale majina yaliyotolewa kwenye tovuti ya wale wanaotakiwa kufanya application upya nao kabla ya tarehe 15 august nayo majina yao yatatoka, na chuo ni kama kawaida muhula mpya wa masomo unaanza september mwishoni kwa baadhi ya vyuo na october kwa baadhi ya vyuo!!! upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako.