Hii special fucaty requirement vp?

Hii special fucaty requirement vp?

enoc

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
86
Reaction score
5
Jaman kulngana na heslb wanasema kua hii amount wanalpa kama sisahau haizidi 150,000/= sasa haka chuo changu naona wameijumuisha hapo wataalamu nchakachulien.
 
Inategemea na kozi unayosomea,kuna kozi nyingine zinazo wakati nyingine hazina...ni kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali eg.makoti ya kufanyia practical etc,na correction kidogo kwenye heading yako ni 'faculty' na sio 'fucaty'...
 
Back
Top Bottom