Hii stand kuu ya Arusha ni aibu kwa Rais wa nchi

Mbunge gambo mwenyewe mjanja mjanja na mpiga fitina,Aondoke amuachie Jimbo makonda
 
Stendi ya KAWE umeiona?🤣🤣🤣.
Kawe hakuna viongozi
 
Stend ya mabasi siyo project ya serikali kuu, kwa hiyo rais hahusiki.
Wakati wa Shujaa serikali za wananchi, halmashauri zilipewa nafasi ya kuandika projects ili zipate ufadhili toka serikali kuu, kwa nini Arusha Jiji hawakuandika hiyo project? Miji mingi iliandika, Dodoma, Mwanza, nk, waliaandika, wakapa na wakajenga stendi zao. Kwa nini Arusha wasubiri serikali kuu iwajengee? Halmashauri wanafanya nini?
 
Hujui nyie CCM mnaihujumu Arusha?
 
CCM inahijumu Arusha
 
Pia pale Arusha Kuna wale wafanya biashara. kuzunguka hyo stend nao akili zao zipo kuzika stand isihame pale ili waendelee kufanya biashara
 
Unayemsema kua angekuepo mambo yangekamilika si amekalia kiti miaka sita! Hakua anafahamu hilo?
 
Siku naingia Arusha kwa mara ya kwanza nilishangaa sana nilipoambiwa tumefika na hii ndio stand kuu😔
 
Hata huku Geita stand ya mkoa ni aibu! Kwamba tunaletewa wakurugenzi vilaza au makusudi??? Mbona Dar wanajenga stand nzuri sisi hata hiyo ya Mwenge kwetu itatufaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…