Escobber pablo
JF-Expert Member
- Jun 17, 2024
- 302
- 695
Arusha uje na akili timamu huku Ugumuni sio kama Daslam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge gambo mwenyewe mjanja mjanja na mpiga fitina,Aondoke amuachie Jimbo makondaWanaenda mbele wanarudi nyuma. Stendi ya jiji imekaa vile jamani...hapo juu yake Kuna Ile stendi ya hice Ina vikibanda vichafuuu..Yani katkat ya mji pamejaa slums...halafu Kuna mkuu wa mkoa, Kuna RAS, Kuna mkuu wa wilaya, Kuna DAs, Kuna mkurugenzi, Kuna mbunge, Kuna mayor, Kuna madiwani, Kuna wenyeviti, Kuna maafsa tarafa, Kuna watendaji kata na watendaji mitaa (Wala rushwa wakubwa Hawa watendaji na matarafa) ..kwa kifupi Arusha imesimama na HAINA kipya...amekuja Makonda anatamani sana kubadilisha Arusha lakini hatafanikiwa ikiwa atabaki na hiyo team mbovu hapo chini yake...team mgando hiyo na watamwangusha asipokuwa makini....Ina MAANA vyombo havioni vikashauri mamlaka za teuzi ama wanataka Jimbo lipotee kizembe
Kuna Mhindi mmoja alitoa ushawishi wa viwanja vya bure kwa watendaji pale Manispaa.Huko kutakuwa na watu Wana viwanja vyao vikubwa vikubwa
Yaani siyaoni mabasi kutoka Dar, Nairobi na Mwanza yakitumia stendi mpya ya Bondeni City. Tutarajie mivutano!Uelekeo tofauti kabisa na miundombinu hakuna
Kwan hujui unafiki wa wabongoIla ikijengwa utasikia mama ametufikia, mama ametujengea, mama amewekeza, mama blah blah...
Hujui nyie CCM mnaihujumu Arusha?Stend ya mabasi siyo project ya serikali kuu, kwa hiyo rais hahusiki.
Wakati wa Shujaa serikali za wananchi, halmashauri zilipewa nafasi ya kuandika projects ili zipate ufadhili toka serikali kuu, kwa nini Arusha Jiji hawakuandika hiyo project? Miji mingi iliandika, Dodoma, Mwanza, nk, waliaandika, wakapa na wakajenga stendi zao. Kwa nini Arusha wasubiri serikali kuu iwajengee? Halmashauri wanafanya nini?
CCM inahijumu ArushaWanaenda mbele wanarudi nyuma. Stendi ya jiji imekaa vile jamani...hapo juu yake Kuna Ile stendi ya hice Ina vikibanda vichafuuu..Yani katkat ya mji pamejaa slums...halafu Kuna mkuu wa mkoa, Kuna RAS, Kuna mkuu wa wilaya, Kuna DAs, Kuna mkurugenzi, Kuna mbunge, Kuna mayor, Kuna madiwani, Kuna wenyeviti, Kuna maafsa tarafa, Kuna watendaji kata na watendaji mitaa (Wala rushwa wakubwa Hawa watendaji na matarafa) ..kwa kifupi Arusha imesimama na HAINA kipya...amekuja Makonda anatamani sana kubadilisha Arusha lakini hatafanikiwa ikiwa atabaki na hiyo team mbovu hapo chini yake...team mgando hiyo na watamwangusha asipokuwa makini....Ina MAANA vyombo havioni vikashauri mamlaka za teuzi ama wanataka Jimbo lipotee kizembe
Aliyekwambia mie ni ccm nani? Acha unanii.Hujui nyie CCM mnaihujumu Arusha?
Siku naingia Arusha kwa mara ya kwanza nilishangaa sana nilipoambiwa tumefika na hii ndio stand kuu😔Mji wenye pilika nyingi km Arusha unakuwaje na kastand kadogo kazamani km hii iliyopo? Utaambiwa kuna ubishani kati ya mbunge na viongozi wengine wa mkoa.
Wananchi ndio wenye nchi ndio wanaotumia stand nchi ina Rais eti pesa ipo na eneo lipo kule bondeni city ujenzi hauanzi, we Rais unajionaje?
Ndio maana watu wanashindwa kumsahau Magu, tunajua Gambo ana arrogance lakini ni nyau tu. Magu angetoa agizo tu na muda wa kuikamilisha wangefanya kazi usiku na mchana, vinginevyo warudi kwao.
Mji wa Mwanza stand kubwa 3; Buzuruga, Buhongwa na Nyegezi, Arusha kuna siasa za kishamba sana. Rais wasaidie wananchi wako stand kuu kubwa ya kisasa ijengwe.
Wasiwasi wangu wale wafanyabiashara wakubwa wa mjini kati wana mikono yao wanatumia viongozi km kina Gambo, ni akili finyu sana kukwamisha maendeleo ya nchi kwa maslahi ya watu wachache.
Hata huku Geita stand ya mkoa ni aibu! Kwamba tunaletewa wakurugenzi vilaza au makusudi??? Mbona Dar wanajenga stand nzuri sisi hata hiyo ya Mwenge kwetu itatufaa sana.Mji wenye pilika nyingi km Arusha unakuwaje na kastand kadogo kazamani km hii iliyopo? Utaambiwa kuna ubishani kati ya mbunge na viongozi wengine wa mkoa.
Wananchi ndio wenye nchi ndio wanaotumia stand nchi ina Rais eti pesa ipo na eneo lipo kule bondeni city ujenzi hauanzi, we Rais unajionaje?
Ndio maana watu wanashindwa kumsahau Magu, tunajua Gambo ana arrogance lakini ni nyau tu. Magu angetoa agizo tu na muda wa kuikamilisha wangefanya kazi usiku na mchana, vinginevyo warudi kwao.
Mji wa Mwanza stand kubwa 3; Buzuruga, Buhongwa na Nyegezi, Arusha kuna siasa za kishamba sana. Rais wasaidie wananchi wako stand kuu kubwa ya kisasa ijengwe.
Wasiwasi wangu wale wafanyabiashara wakubwa wa mjini kati wana mikono yao wanatumia viongozi km kina Gambo, ni akili finyu sana kukwamisha maendeleo ya nchi kwa maslahi ya watu wachache.