Hii style huwa inaitwaje?

Hii style huwa inaitwaje?

Ktk bidhaa rahisi kwa mwanaume anaejiamini, mtanashati, mchapakazi ni mwanamke.
 
Makusudi yao tuu mkuu, coz wanafanya hivyo ili kukukomoa. Kuonyesha kwamba hata ukimtenga ana mwingine kipenzi cha rohoni
 
Mambo ya DP hayanihusu wala siwezi kumuuliza hahaha, kikubwa anitimizie matakwa yangu tu!
 
Back
Top Bottom